Kutokana na upepo mkali unavyobadilika kwa kukubalika kwa Dr Slaa katika siku hizi za mwisho, jee kilichobakia kwa JK sasa ni kutegemea hisani ya NEC? Vinginevyo halionekani tundu la kupitia.
Ndugu yangu, napita mitaani naona anatumia intergrated method, kote kote,
1. Anahonga wapiga kura
2. Anawatisha wapiga kura kwa amani, utulivu na mengineyo,
3. Na baadhi ya wagombea wetu nao mmhhh! wengine wanazunguka mbuyu maana maburungutu yake si mchezo.
4. Anawatumia sana wanawake kuwatisha na kuhonga
5. Nec wenyewe pia wanatumika kukamilisha
6. Askari wanatishia
7. Wasimamizi wote nao pia kulamba mshiko
8. Meseji za kumkashifu mwenzake kila siku
9.Uchokozi kwenye mikutano ili Chadema waoneshe anger yao na waonekane wanamwaga damu
10. Kununua shahada za wapiga kura
na mengine mengi waliyofanya tayari kama kuwafukuza wanafunzi vyuoni, walimu na wanafunzi kulazimishwa kumpigia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.