Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
Source;ITV
wivu wa kike, jk kaalikwa.
wivu wa kike, jk kaalikwa.
wivu wa kike jk kaalikwa

Basi usile Leo mtoto wa mwisho maana imekuuma sana nenda kamwambie mamaNi sawa kaalikwa, ila elewa kuwa manufaa ya safari zake yangeonekana kwa:
1: Kupunguzwa au
kufutwa kwa deni la taifa
2: Kuongeza misaada toka nje nk.
Nothing at all !!
G8 wapo sahihi kumwalika JK, kwani mali gafi ya viwanda vyao vinatoka wapi? Ni Afrika ikiwemo Tanzania. Walaji wakubwa wa bidhaa kutoka viwanda vyao wako wapi? Walaji wapo Afrika ikiwemo na Tanzania! So you can see the connection, wale hawana mzaha, sisi ndiyo tunafanya mzaha kiasi cha kukubali mwaliko wenye walakin kama huo! African heads of state wakifika kule wazungu watawapetipeti migongo na kumwagiwa sifa za uwongo kumbe wao (wazungu) wana agenda moja tu Afrika; Kuimarisha mahusiano ya kinyonyaji!
wivu wa kike, jk kaalikwa.