Jk, rex na downs ni kitu kimoja !!

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Wadau hivi hamjiuliza kwanini serikali ilitumia kampuni ya sheria ya REX kwenye mktaba wa Richmond na baade DOWANS. REX iliishauri serikali ililipe DOWANS mabiliaoni ya shilingi bila kukata rufaa ikingali inajua kukata rufaa inawezekana,

Kwa mazingila hayo tunzaidi kutilia shaka utendaji kazi wa REX na uhusiano wake na JK. Kwa mfano angalia baadhi ya watendaji wa REX na uhusiano wao na JK.

1. Arafa Mohamed (Mrs. Ridhiwani JK)

Huyu ni mke wa mtoto wa JK (Ridhiwani kikwete) na ni mfanyakazi wa REX Attorney. Uhusiano wake kikazi nawa familia ya JK unatilia mashaka ushirikishwaji wa JK na DOWANS. Arafa anakihisiwa kulinda maslahi ya babamkwe (JK) ktk DOWANS akiwa REX.

2. Mwanaidi Sinare Maajar

Huyu ni mmoja wa wanahisa wakubwa wa REX na nani balozi wa Tanzania nchin Marekani. Huyu mama amekuwa balozi wa TZ nnchi UK kwa mda mrefu kabla ya kuteuliwa kwenda USA juz juz na JK. Ukaribu wake kikazi na JK unatia mashaka kulinda maslahi binafsi ya JK ktk DOWANS.


3. Mr. Sinare Zaharan na Dr. Eve Hawa Sinare

Hawa ni wanahisa wengine wa REX na wanaundugu wa karibu sana na Balozi Maajar.
undugu huu na Balozi maajar unazidi unatilia mashaka utendaji wa REX na maslahi binafsi ya JK ktk DOWANS

4. Dr. Alex Thomas NgulumaHuyu ni mwanahisa wa REX na wakili maarufu wa mahakama kuu ya TZ na ZNZ. Akiwa wakili mzoefu tena wa mahakama kuu inashangaza alishaurije DOWANS walipwe tena kabla hata kesi haijasijiliwa na mahakama kuu.Hapa inatutia shaka hata utendaji wa haki ktk kesi iliyofunguliwa na wanaharakati kupinga ulipaji wa DOWANs kama mahakama kuu kuna watu kama hawa wanotumia sheria kupindisha haki kwa maslahi ya wachache.

UHUSIANO WA REX NA ROSTAM

Rostam Aziz aliyemilikishwa kisheria kushughulikia shughuli za DOWANS Tanzania, ana ukaribu wa karibu sana na REX ambayo imekuwa ikshughulkia shughuli zake mbalimbali kisheria hasa kampuni yake ya CASPIAN Construction iliyokuwa imepanga jengo moja na REX kwenye gholofa moja la NIC mitaa ya posta, kabla REX hawajaa mia kwenye jengo lao mitaa ya Upanga. Inasemekana pia kwamba JK na Lowassa walikwa wanaenda mara kwa mara CASPIAN mwaka 2005 kabla hajagombea urais 2005. Tetesi zisema walikuwa wanaenda kupata support ya kifedha..ndo maana JK anashindwa kumgusa mfadhili wake wa muda mrefu (RA)
 
mimi nimechoka kusikia habari za hawa mafisadi!! IPO SIKU NTAANDAMANA PEKE YANGU!
 
avatar18075_5.gif
Hapa mkuu ilikuwa ni sherehe gani?
 
Back
Top Bottom