cheze
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 501
- 330
siwezi chagua raisi kilaza ni wako huyo nilifanya hivyo 2005 but NOT 2010 nahaitakuwa hivyo DAIMA kuichagua CCMimekula kwa wapinzani bado ni Rais wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siwezi chagua raisi kilaza ni wako huyo nilifanya hivyo 2005 but NOT 2010 nahaitakuwa hivyo DAIMA kuichagua CCMimekula kwa wapinzani bado ni Rais wetu
Watu waliwahi kusema Obama yupo chini ya white power (kakikudi ka wamarekani weupe) hivo yeye kama rais hana la kuamua, hiv mtindo huu ndo unatumika na hapa nyumbani eee!............kitu kimoja..lack of power from within'' hili ndilo tatizo la huyu jamaa.......na ndio maanakila kitu kimemshinda.........
Kikwete aanze kipi? Chama, Serikali, Bunge ama Madaktari?
Vijana wa mtaani wanasema ameshikwa bapaya. Bunge wanataka ongezeko la pesa - naona hilo anajaribu kutia mkazo hakusaini, lakini hawezi kusema hadharani. Madaktari wamegoma lakini alichelewa kuona mgomo huu utafika hapa ulipo kwahiyo hawezi kuingilia sasa. Waziri Mkuu anashutumiwa anambadilisha vipi maana kambadilisha Lowasa majuzi tu - na swala amuweke nani? ili afanye nini? Eti afanye reshuffle kwa nini? Lakini unamfukuzaje Waziri na Naibu wake tu? Wabunge wa CCM wanamtishia juu ya katiba na labda kutoridhishwa na maamuzi yake ya posho.
Jamani haya mambo sio mepesi, na tusitizame kama jambo moja moja maana ikitokea tu haya mambo yakaunganika - basi tumekwisha.
Nadhani kikwete anahitaji ushauri hapa! Aanzie wapi? Unaanzaje na mgomo wakati ndani kwako ni vuruvaru?
Unaonekana huelewi utendaji kazi wa Rais ukoje.