MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 8
ni sawa na mtu akiuliza hivi, Mtazamowangu ni mbea???
Kamuulize na BABU SEYA...!
In what particular instance did the collision happen?Could anyone spill the data! What about the SEYAs?Are there sufficient evidences to link mkulu with saga?Na Liyumba
It seems everyone who changiad something in this thread knows more than they are letting on. They are just waiting for someone else to spill the beans.
kwani JK anafunga watu?na amfunge kwa kosa lipi?mawakili wa serikali wenyewe wameanza kushindwa mapemaaa wanaweweseka tu,soma alivokuwa anawajibu Liyumba jana ndo utajua kuwa hakuna kesi humo ni upuuzi mtupu..mramba lazima amfunge
Na Liyumba
Hivi wakuu wote hapa JF hakuna anayekijua kisa cha babu Seya atupe ukweli wake ili tujue kama kweli Muungwana ndiye aliyemsweka ama ni uzushi tu?
believe me mkuu Liyumba hana kesi pale na atashinda tu..I dont get the connection for for HR and Admin.Director eti alibadilisha michoro ya jengo na kusababisha hasara...is nonsense na kweli JK kama anaongoza kwa visasi atakuja kupata shida sana akistaafu huo urais people they will not tolerate him and this will take this nation to a grave..Sijui tulitoka wapi na rais wa namna hii ,he is no visionary at all...poor me ,poor Tanzania.nawasiwasi na kesi ya Liyumba, maana hiyo kesi hipo kivisasi zaidi
Watu tunachanganya vitu. Ikija katika suala la kiutendaji na kila mtu akiambiwa aweke timu yake, hayamkini kila mtu ataweka timu anayoaiamini. Sasa mtu amashakukejeli na kukuchafua, then unamuweka katika timu yako, what if akikuharibia utendaji wako? Nadhani kila mtu angependa awe na mtu anayemuamini katika uongozi vinginevyo siri za vikao zitavuja nje, atatenda ovyo ovyo ili uaibike. Nadhani sometime decisions kama hizi huwa zipo sahihi kabisa.Hakuna anaekosa Kisasi ktk Dunia hii tunayoishi ila suala la Babu Seya Uzushi Mtupu hausiki Mkwere ila Lyumba,Mangula,Mashishanga ,M.Majogo ,Gama Hata Ngwilizi Naamini inawezekana. Mbona hata Chinga nae alikuwa na Visasi au hamjuii? Muulizeni Nchimbi Naamini Mzee wa Ruksa alikuwa si mtu wa Visasi kwani alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya Ndani Marehemu Brgd. Moses Mnauye alimtoa ktk Nyumba ya Serikali kihuni na kutupa vitu vyake nje pia Mzee Joseph butiku mara kadha alimfukuza ofisini Ikulu wakati akienda kumuona JKN cha ajabu yeye hakufikiria Kulipa kisasi Bado Aliwanyanyuwa AlliQisasu KHaki