JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Mwaka 1967 Serikali iliondoa kipengele cha dini ktk sensa ya wananchi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa Sababu Kinaweza Kuleta Matatizo ya Udini.

Kinachowakwaza n...i takwimu za idadi ya watanzania kuonyeshwa kulingana na imani ya dini zao UKIZINGATIA UKWELI KWAMBA toka 1967 kipengele hicho kilishaondolewa…

Taasisi zenye takwimu hizo ni kama ifutavyo:-

1.Ofisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45% waislam 35% Na hili limo kwenye Calender zinazotolewa na ofisi ya waziri mkuu.

2.TBC 1 Tar 26 April 2012 Imetangaza kuwa takwimu zinazoonyesha wakristo ni 52% waislam 32%..

3. Bodi ya utalii imeonyesha katika Website yao wakristo ni 45% waislam 40% (taarifa ambayo kwa sasa wameindoa baada ya taasisi za waislam zinazopinga zoezi hilo kutumia kama reference).

4. Wakatoliki tovuti yao (www.rc.net ) wanadai waislam ni 34% na wao ni 44%
(Wanadai waislamu ni lini walihesabu?).

5. Pia wanadai takwimu za nama hiyo zipo kwenye Ramani zile kubwa kabisa zinazoonyesha nchi yetu na nchi ilizopakana nazo na kwenye http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania#Religion

WANADAI kuwa Takwimu hizi za uongo zimekuwa zikitumiwa ktk uteuzi na maamuzi, kama ilivyoelezwa kuwa Tanzania haiwezi kujiunga na jumuiya ya kiislamu ya OIC sababu raia wakristo ni wengi kuliko waislam.

Je, madai hayo yanatosha kuwa sababu ya kugomea sensa MPAKA KIPENGELE CHA DINI KIWEKWE ILI KUONDOA UTATA WA TAKWIMU????....

TUMIA AKILI YAKO KUAMUA KESHO NDIO ZOEZI LINAANZA…
“AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO”(usiwe KILAZA)
 
Mi sijaelewa lengo lenu ni nini hasa,je ni mnataka mpewe vyeo vya upendeleo serikalini endapo mtabainika ni weng kuliko wakristo hata kama hamkusoma?au lengo lenu ni kuishinikiza serikali iwape ruzuku hata kama hamna jambo llt la maendeleo mnaloliendesha au lengo lenu ni kuleta udini kwenye taifa la Tanzamia,Au mnataka kuleta fujo?
 
Kama tovuti ya wakatoliki imetoa hizo takwimu,pengine waulizwe wamezipataje ili na waislam nao wafanye hivyo.
 
mimi mkristo lakin nimeamua kutokuhesabiwa sababu sioni faida ya sensa kwa nchi hiii....over
 
Tunataka tujuwe tuko wangapi!!!
Elimu ya kikristu ni shda, unauliza swali huku majibu unayo......

Mi sijaelewa lengo lenu ni nini hasa,je ni mnataka mpewe vyeo vya upendeleo serikalini endapo mtabainika ni weng kuliko wakristo hata kama hamkusoma?au lengo lenu ni kuishinikiza serikali iwape ruzuku hata kama hamna jambo llt la maendeleo mnaloliendesha au lengo lenu ni kuleta udini kwenye taifa la Tanzamia,Au mnataka kuleta fujo?
 
Nawe ndo umeona habari mpya hiyo? Akili za wabongo bwana! Mimi nikafikri unakuja na jipya kumbe ni yale yale? Nyamb..f! na kwa taarifa yako watahesabiwa tu!
 
Chifu kimweri wa usambaani na wanawe walikua wanajua kusoma kiarabu,WAARABU hawakupita Tanganyika na kama walipita ni mwaka gani na maeneo yepi?
 
"Chifu kimweri wa usambaani na wanawe walikua wanajua kusoma kiarabu",WAARABU hawakupita Tanganyika na kama walipita ni mwaka gani na maeneo yepi?
 
Mi sijaelewa lengo lenu ni nini hasa,je ni mnataka mpewe vyeo vya upendeleo serikalini endapo mtabainika ni weng kuliko wakristo hata kama hamkusoma?au lengo lenu ni kuishinikiza serikali iwape ruzuku hata kama hamna jambo llt la maendeleo mnaloliendesha au lengo lenu ni kuleta udini kwenye taifa la Tanzamia,Au mnataka kuleta fujo?

we mtu vip... wanataka kujua wako wangapi.... kwisha..hayo mengine ya why this waachie wao
 
Back
Top Bottom