Kama ameyapenda MAGWANDA basi watu wake wamchagulie rangi yao ya kijani/njano, hili alilovaa leo anatauma ujumbe gani?
Ivi huyu bwana akicheka na wengine pia lazima wacheke? mbona mamboo!
jamaa anahamu ya kujiunga chadema,ni basi tu
siku hizi hatandikiwi mkeka kupiga magoti apande mti?kweli criticisms change people...katofali kadogo lakini mkuu anaonekana hoi..kweli ndege zinalemaza