Elections 2010 JK Naye!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
kikwetemakini.jpg
 
Bibi wa watu anavyodanganywa kuwa atakuwa na maisha bora!
 
Hiyo ni miongoni mwa silaha za mwisho anazojaribu kutumia.
Salva amewapanga vijana wake kuhakikisha kuwa picha kama hizi ndo zinapewa kipaumbele kwenye media hasa magazeti kila siku.
Sijawahi kuona hata siku moja baada ya kuapishwa huyu rais wangu kuwa mnyenyekevu hivi.
Hii ni janja ya kutafuta kura ZA HURUMA
 
Sure! "Customer Care" ya JK wakati wa Uchaguzi ni 300%
 
Hiyo ni miongoni mwa silaha za mwisho anazojaribu kutumia.
Salva amewapanga vijana wake kuhakikisha kuwa picha kama hizi ndo zinapewa kipaumbele kwenye media hasa magazeti kila siku.
Sijawahi kuona hata siku moja baada ya kuapishwa huyu rais wangu kuwa mnyenyekevu hivi.
Hii ni janja ya kutafuta kura ZA HURUMA
Ila hata watoto wanaoonekana huko nyuma wamepigwa na butwaa na wao HAWADANGANYIKI... wanajiuliza.. he? Huyu ndo kawa mnyenyekevu hivi leo? :smile-big: Hebu wataalam zoom in kwa watoto hapo mpate kuona vizuri...
 
anawajali wazee lakini kashindwa kuwalipa wazee wa wafrika mashariki
 
anawajali wazee lakini kashindwa kuwalipa wazee wa wafrika mashariki
Si kuwalipa tu bali hata kuwapiga. BTW sisi huku vijijini wagombea wanatusalimu watoto wadogo "SHIKAMOO" hii ni kali. We usidhani JK anafanya tofauti na wenzake wa chama cha wezi. Hata hivyo safari hii, hatudanganyiki.
 
kama angekuwa anawapenda wazee, sera ya wazee ingetekelezwa. Huduma zote za kijamii wangepaswa kupata bure hasa kama huyo bibi kizee. Ungemwuliza anapougua huwa anaenda wapi? Ungekuta ni kwa Sangoma, maana gharama za hospital haziwezi
 
huye bibi inaniuma kweli kwani bibi anamatumaini yakweli kweli, angalijua kwamba anaibiwa asingali msikiliza huyu msanii...
 
Kwanza ni kukosa adabu utamsogeleaje bibi wa watu kiasi hicho! Je, CCM ina mpango wowote wa kujali wazee mbali na huu uliojadiliwa hivi karibuni? Kama anawapenda wazee, kwa nini aliacha wale walilala pale kwenye daraja la salender?
 
sasa akianguka tena huyu bibi wa watu atakuwa na uwezo wa kumzuia kweli aundo watasema yeye kamsukuma
 
Huyu Bi Kigongwe yawezekana akawa mjane wa aliyekuwa mfanyakazi wa East African Community.... sasa sijui namwabia Bibi nitajitahidi yale mafao ya mume wako kuyalipa mara tu ukinirudisha IKULU...
KAMA ANAJALI WAZEE SI ANGEWALIPA WAJANE WA WAFANYAKAZI WA TRC NA ILIYOKUWA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI?
...... HATUDANGANYIKI! .......
 
Mnaweza kumchukia JK kwa UTENDAJI wake lakini kwenye kujichanganya na watu wa kila rika, haiba, hadhi,..., hana mfanowe.
 
Back
Top Bottom