JK: nasema subirini hapo hapo mpaka 2013

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
maji%20dom.jpg
















Source: Wananchi Wenye uhaba wa maji watakiwa kuvumilia
 
Mungu awabariki hawa kinamama zetu na wananchi wa vijijini wanaouliwa kila kukicha bila wao kujijua kimaisha na JK kushirikiana na Mafisadi wenzake!!! Mungu awaongozee akili na maarifa ili washituke na wajue kuwa wanafanya big mistake ya kumuunga mkono huyu mwizi anayeangamiza watoto wao na vijukuu vyao vitakavyokuja!EEEh Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wanaodanganywa na CCMafisadi!AMEN!
 
Back
Top Bottom