JK na Standby Generator za Mgodini Nzega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Standby Generator za Mgodini Nzega

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Domhome, Sep 29, 2010.

 1. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Nimepewa taarifa ya kuwa leo JK, yupo Nzega kwaajili ya Kampeni za kujinadi yeye mwenyewe, Mgombea wao wa Ubunge(Hamisi Kigwangala) pamoja na Madiwani wa CCM.

  Mkutano huo wa Kampeni utafanyika kwenye uwanja wa Samora huko Nzega mjini na gari lao la TOT (Captain John Komba) lipo huko toka jana.

  Nimejulishwa pia kuwa Mgodi wa Dhahabu wa Lusu umetoa standby generator ambazo zitatumika iwapo tu umeme wa TANESCO utakatika, na kuwa jenereta hizo zilikuwa uwanja wa kampeni toka jana jioni na mmoja wa madereva wa mgodi huo alilala wanjani hapo kuzilinda usiku kucha!!

  Je, hivi Lipumba au Dr. Slaa nao wakija hapa Nzega watapewa hizo standby generator kwaajili ya kufanyia kampeni?

  Nitaendelea kuwajuza mambo yanavyoendelea huko Nzega kadri nitakavyopata habari!
   
 2. m

  muafaka Senior Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Is there anything wrong with that?
   
Loading...