Jk na Shukuru kawambwa mpo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk na Shukuru kawambwa mpo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mashambani kwao, Aug 19, 2012.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg mwalimu;katika masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A..B.C na D.Mwandae apate F kwani hata akipata A juhudi zako ni sawa na bure kwani hata wanafunzi bora 20 huzawadiwa bungeni bila hata walimu wao kuwepo.Mwalimu hatambuliwi wala hathaminiwi na hatujui atakaeingia hata ukumbi wa bunge lini,jamani serikali hii inadharau walio wafundisha.Hii iwe silaha yetu ya kutowafanya wawebora na kwenda bungeni.Liwalo na liwe.
   
Loading...