Jk na ndoto za kilimo

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Hello great thinkers
Nimeshangazwa sana na kauli ya mhe. Rais kwa kuzitaka Wizara za kilimo,chakula na ushirika na Wizara ya mifugo na uvuvi kutoa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu na kuwapeleka ngazi ya Tarafa, kata na kijiji ili kuongeza ufanisi wa utendaj kazi wa ushauri wa kilimo kwa wakulima. Huku akisisitiza zaid amesema wahitimu wa vyuo vikuu wakipelekwa katika ngazi hizo watasaidia kupeleka teknolojia mpya kwa wakulima.
Kwa mawazo yangu mimi huu ni ufinyu wa kufikiri kwa mhe rais. Mhe Rais anapa
 
Hello great thinkers
Nimeshangazwa sana na kauli ya mhe. Rais kwa kuzitaka Wizara za kilimo,chakula na ushirika na Wizara ya mifugo na uvuvi kutoa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu na kuwapeleka ngazi ya Tarafa, kata na kijiji ili kuongeza ufanisi wa utendaj kazi wa ushauri wa kilimo kwa wakulima. Huku akisisitiza zaid amesema wahitimu wa vyuo vikuu wakipelekwa katika ngazi hizo watasaidia kupeleka teknolojia mpya kwa wakulima.
Kwa mawazo yangu mimi huu ni ufinyu wa kufikiri k
 
Back
Top Bottom