T TANURU Senior Member Jan 13, 2010 162 6 Feb 10, 2010 #1 Wakuu, Naomba mnisaidie kujua ni maamuzi yapi mazito ambayo Rais ameyafanya mwaka uliopita (2009) ambayo tunaweza kujivunia kama taifa.
Wakuu, Naomba mnisaidie kujua ni maamuzi yapi mazito ambayo Rais ameyafanya mwaka uliopita (2009) ambayo tunaweza kujivunia kama taifa.