JK na barabar za juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na barabar za juu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bulunga, Oct 29, 2010.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi kweli Rais wa nchi unaweza kuthubutu na kusema foleni za Dar ni middle class imeongezeka, for ur info ni kuwa this is among the shortfall ya serikali ya CCM,with PLANNING NA VISION sijui kama tungelipata matatizo haya,PLANNING,PROJECTIONS zingeonyesha tufanye nini, barabra za juu zingelikuwepo 10 yrs ago, mfano mzuri angalia barabara ya uhuru- buguruni , its time now hiyo barara ingekuwa double lane, lakini tunaruhsu ujenzi usio na maana , MADIWANI NA MAYOR WA CCM ndo wmekuwa planners na SURVEYORS, kwanini turuhusu majengo makubwa yajengwe along this streert, in fact yanafanya expansion ya barabara kutowezekana,in future jiji / serikali haliwezi kumudu compesation . IMAGINE 10 yrs ago kama wangesimamisha ujenzi wa majengo makubwa fidia ingelikuwa kidogo, Leo JK anatudaganya eti foleni ni maendeleo( middle class),in Short serikali haiko serious. kama hauko serios na responsible means HUNA ADABU, tarh 31 kura kwa DR wa ukweli:israel:
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  magari yenyewe si yote mitumba? kama ingekuwa illegal kununua gari lililotumika, tungekuwa na magari mangapi barabarani? any justification for the growth, save the existence of the middle class?
   
 3. T

  Tuzo Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi haina plans. Sijui tunafanya sensa za nini? Mi nilifikiri sensa inatuwezesha pia kujua jinsi population inavyoongezeka na ku-project population yetu kwa miaka ya mbele.so kama tungeitumia vizuri tungejua mapema jiji linahitaji barabara za kutosha,at least zinazopitisha magari nane kwa wakati mmoja.Hata kama hatuma uwezo huo,mipango ingeonesha kuna reserve ya barabara kwa ajili ya kupanua barabara ktk siku zijazo.Kwa hali ilivyo sasa inakatisha tamaa kabisa.tunaona majengo makubwa yakijengwa karibu kabisa na barabara,so ina maanisha tutakapotaka kupanua inabidi yabomolewe hayo na kuwalipa fidia kubwa kitu ambacho tungekua na mipango kingeweze kuepukika.mfano ally hassan mwiny road from mwenge to moroco, barabara ya karume-keko ambayo kwa sasa huwa na folen lkn tumeona jiji limejenga machinga complex pande zote mbili na daraja juu,so no possibility ya kuipanua hiyo barabara labda tuingie gharama ya kubomoa machinga complex. Kwauzoefu wangu mdogo na exposure ndogo ya nchi za wenzetu niliyonayo, naona hata hizo barabara za juu hazitatatua foleni za dar kama kwanza hazitatanguliwa na kupanua barabara zilizopo atleast zipitishe magari nane kwa wakat mmoja,hapo ndo fly over zitakua na faida.

  "speed in a wrong direction is irrelevant"
   
Loading...