JK: Mafisadi hatutawaonea haya

JK: Mafisadi hatutawaonea haya

EL kuwa pembeni ni msaada ulifanywa na Bunge na sio ujasiri wa . Ndio kusema Jk anategema msaada wa Nape na mkama na yeye mwenyewe hana ujasiri wa wa kuwatosa. Je JK hajui mamlaka na nguvu ya rais na mwenyeiti wa chama.

Mkuu, anajua. Ila anashindwa kuyatumia vema kwa faida ya Nchi.
 
Q: nani amfunge paka kengele?
Najua hakuna wa kumfunga kengele kwa sababu yeye ni rais lakini sisi wananchi wake tunapolalamika ndiyo tunamfunga paka kengele hata kama akiamua atakavyoamua kuwaonea wenzake lakini tumesema kuwa kwenye dili walikuwa wote na hilo halitafutika milele.
 
Kwa nini umefikiria hivyo?

Can u tell us more Mkuu?

Kwa kawaida ukipata mapenzi ya kweli kabisa ya Baba... Mhimili huu wa Baba ... Unamjengea Mtu ..

...UWEZO.. wa kufanya maamuzi MAZITO kama Baba wa familia au Baba wa Taifa ... hata kama Baba yake angekuwepo lakini Baba ..was not their for the Jk or something like that.. inamfanya mtoto wa kiume kukosa Real Charater .. !!

Will always be people pleaser ... never take hard tough decision....most of time gives in... to serve the face...etc

Kwa jinsi Rais alivyokuwa ameelemewa na Mafisadi pale ccm, he completely give in to them, please them ... anybody would have guessed .... father figure complex ...

Sasa leo ghafla ... He is that strong...??? Mhh .. lets wait and see!!

That is why i dont xpect much in CCM ..
 
sasa anawashughulikia ki ccm au kimahakama?kwani kimahakama imesha shindikana!kisiasa aliwanadi mbele ya wananchi kuwa ni watu safi huku akijua fika wanakesi mahakamani!huo ni usanii mtupu wajinga ndiyo waliwao
 
Ikiwa hadi leo chama hakiwajui Mafisadi isipokuwa kwa tuhuma zilizopo, wataweza vipi kukisafisha ikiwa uchafu hawauoni ila kwa kunusa harufu?... hii sii ndio tunasema kipofu kumwongoza kipofu mwenzie..
 
Kautoa ujarisi huo wapi na lini.

JK kama rais wa tanzania serikali yake imewashtaki Mramba na yona. Lakini JK huyo huyo kama mwenyekitu wa CCM kashindwa kumwambia mramba kaa pembeni kwenye ubunge kwa chama ninachoongoza.

JK kama rais serikali yake imemchunguza chenge juu ya utata vijisenti vyake na kuhusika na ufisadi wa rada. hakuna asiyeua UK kufunga jalda la kesi ile sio uhalaai wa cheg kutokua na hatia. JK huyo huyo kashindwa si tu kumshatiki chenge lakini hata kumzuia asigombee ubunge

Sasa kama hata ambao kwake ni dagaa kawashindwa sasa kina EL na RA atawaweza au ataendelea kufanya maigizo ya kudeal na kina liyumba

EL kuwa pembeni ni msaada ulifanywa na Bunge na sio ujasiri wa . Ndio kusema Jk anategema msaada wa Nape na mkama na yeye mwenyewe hana ujasiri wa wa kuwatosa. Je JK hajui mamlaka na nguvu ya rais na mwenyeiti wa chama.

Zing;

Nakuelewa ...
Ujasiri huo autoe wapi leo? He has never shown the character before... Atoe wapi Ujasiri leo..

Tunachukulia mzaha lakini ... Kweli akifanya hivyo ...Kuna kitu kingine hatukijui... Na wala sio jambo la kupigia makofi.
 
ndio mheshimiwa Rais, tena kama fisadi ni mwanao anza naye huko huko nyumbani.
 
DSC03348.JPG

Msafara wa Rais Dr. Jakaya Kikwete ukiwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee ambako alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la Pasaka linaloandaliwa kila mwaka na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mwenyekiti Alex Msama. Tamasha hilo limekutanisha waimbaji wa muziki wa injili kutoka nchi za Afrika Mashariki na maziwa makuu kama vile Zambia DRC Congo, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda na Tanzania.

Picha: Jiachie Blog​
 
Rais JK, leo akiongea katika Tamasha la Muziki wa Injili liliohusisha vikundi vya kwaya toka nchi mbalimbali alisema:

"Katika kushughulikia swala la mafisadi, haki itatendeka na hawatamuonea haya mtu yeyote"

Source: ITV News Bulletin of 8.00 PM

Maneno ndo ingekuwa vitendo hadi lahaa
 
Mkuu, anajua. Ila anashindwa kuyatumia vema kwa faida ya Nchi.

Tena hujamalizia sio kwa faida ya nchi tu. Ni kwa faida hata ya familia yake. Mwanae anonekana naye anamulekeo wa kujiingiza kwenye siasa.Sasa Usanii wa JK haumsaidiii mwanae kwa maisha yake ya siasa mbeleni

Zing;

Nakuelewa ...
Ujasiri huo autoe wapi leo? He has never shown the character before... Atoe wapi Ujasiri leo..

Tunachukulia mzaha lakini ... Kweli akifanya hivyo ...Kuna kitu kingine hatukijui... Na wala sio jambo la kupigia makofi.

Akifanya hivyo tutajua na mazingira na hali fulani ndiyo imesababisha badilishe msimamo wake.. Ndio maana anawapa CDM sifa . Sababu amechelewa angefanya jambo hili mapema sifa zingekuwa zake 100%

whatver he do about mafisadi from now 50% ya compment itakuwa yake na 50% ni ya CDM

Simply akichukua hatua sasa binafsi nitaona ni jambo bora ila ni reactive kama wengi wetu tulivyo hapa na sio proactive.

Viongozi bora duniani na makamanda wakubwa kwenye majeshi mengi duniani ni wale walio lelewa na kukuzwa na mama zao, wakiwemo madikteta wa dunia kama IDD AMINI DADA.
 
Unafikiri suluhisho mwafaka lingekuwa ni lipi hasa ikizingatiwa kuwa "amechaguliwa" kuwa Rais recently?

Kwa kuchakachua ndio kuchakuliwa?

Jinsi ambavyo wanakuja juu kujitayarisha mapema as hii yote ni kwa ajili ya 2015 wananchi waone wanashughulika

Inaonekana walichakachua sana tena sana na mie nahisi ingekuwa labda hakuna mshindi na wapinzani wangeunga gov pia ila walichokiona ni cha moto as sijui kama tutaona majibu halisi ya uchaguzi

Huku wanatudanganya pembeni wanaendelea kusukuma madili na kuweka pesa mabenki

Wote mafisadi
 
Issue nyingine; amefurahishwa sana na tamasha hilo kwamba uwepo wa watu wa dini mbalimbali na kusema hicho ni kielelezo kuwa Umoja wetu na mshikamano wetu bila kubagua dini.

Alisema yeye mwenyewe katika familia yake ana ndugu wa kristo na waislamu na wanaishi vizuri. Pia alisema baada ya baba yake kufariki wao walilelewa na Baba yao waliokabidhiwa ambaye ni Mkristo Msabato SDA.

hehe kweli nimeamini sasa kakanusha mwenyewe ile kauli yake ya Tanzania kuna Udini Ukweli unaendelea kuja tu kuwa ilikuwa propaganda
 
Rais JK, leo akiongea katika Tamasha la Muziki wa Injili liliohusisha vikundi vya kwaya toka nchi mbalimbali alisema:

"Katika kushughulikia swala la mafisadi, haki itatendeka na hawatamuonea haya mtu yeyote"

Source: ITV News Bulletin of 8.00 PM

DSC03348.JPG

Msafara wa Rais Dr. Jakaya Kikwete ukiwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee ambako alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la Pasaka linaloandaliwa kila mwaka na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mwenyekiti Alex Msama. Tamasha hilo limekutanisha waimbaji wa muziki wa injili kutoka nchi za Afrika Mashariki na maziwa makuu kama vile Zambia DRC Congo, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda na Tanzania.

Picha: Jiachie Blog​

Sijui ni mimi tu au kuna mtu mwingine anayepata shida na 'dhana' nzima ya Rais wa nchi kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la muziki wa Injili lilioandiliwa na 'Kampuni Binafsi'. Najua kwamba kuna kwaya toka nchi tofauti ndani ya Afrika Mashariki lakini kweli Raisi wa nchi kwenye hili??? no disrepect kwa muziki wa injili ila Rais kama TAASISI naona kuna mis-match. Nadhani Kikwete awe atazame vizuri safu yake wa washauri maana sasa hivi ataanza kuwa mgeni rasmi kwenye kitchen party.
 
Back
Top Bottom