Jk kuwa mgeni rasmi wa sherehe za may mosi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kuwa mgeni rasmi wa sherehe za may mosi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Apr 30, 2010.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Kesho kutwa ndio sikukuu ya wafanyakazi ijulikanayo kama mei mosi. Kama ilivyo ada mkuu wa nchi huwa ndie anaealikwa kuwa mgeni wa heshima na ikitokea ana shughuli nyingine humtoma mmoja wapo wa wasaidizi wake kumwakilisha. Tofauti ya mwaka huu viongozi wa wafanyakazi poamoja na kutangaza mgomo utakaoanza tarehe tano, pia waliapa kutomwalika kiongozi yeyote wa serikali katika sherehe hizo ikiwa ni pamoja na rais wa nchi. Swali langu ni je msimamo wa wafanyakazi bado upo pale pale? Na kama upo pale pale mgeni wao wa heshima ni nani? Au walishabadilishwa msimamo kama ilivyokuwa enzi za kina Mpangala? Wasi wasi huu unasababishwa na kawaida yetu waTz kulamba chenga nyingi lakini goli halifungwi. JF kuna update gani kuhusu hili?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Suala letu liko palepale.
  Kikwete akihudhuria sherehe, tutamuona amehudhuria kama mfanyakazi mwingine yeyote.
  Mrisho mpoto ndiye anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi.
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  .
  Ahsante sana kwa taarifa. Wakifanikisha hilo litaondoa shaka kwamba shabaha ya viongozi wa wafanyakazi haikuwa ya kusaka uwanja wa kuahidiwa madaraka na serikali, bali kutafuta masilahi ya wafanyakazi wote kwa manufaa yao na Taifa kwa ujumla.
   
Loading...