JK kutosaini muswada kuwa sheria

JK kutosaini muswada kuwa sheria

Duu hii JF sasa tunaipeleka kubaya, jana kuna mtu kaja na picha za Mzee Warioba, Mzee Salim na Dr Slaa!
Akadai eti kaitoa kwenye fb page ya Zitto. Sijui imeishia wapi ile habari...
Tulitendee haki hili JUKWAA!
 
Hakuna mtu anayekatazwa kuwasilisha hisia zake, ila wewe umetudanganya kuwa ni tetesi ilihali hizi ni dhahiri kuwa ni hisia
 
Kweli hasira zangu kuhusu kilichokuwa kikiendelea huko bungeni na mpaka kufikia kupitishwa kwa mswaada wakatiba ya CCM,naona viongozi wetu na wanaharakati tuanze kazi mapema maana naamini wakati hawa kina Lusinde wa CCM wakiendelea kujadili kwa unafiki nadhani nanyi kama viongozi kuna kitu mlikuwa mnakijadili,sasa tunaomba mikakati mliyopanga nasi tuanze kuifanyia kazi,maana hasira zangu zinataka nirushiwe mabomu na maji ya kuwasha au nipigwe risasi kwa sababu ya kupinga mswada wa katiba ya CCM nikidai Katiba ya watanzania.
 
Duu hii JF sasa tunaipeleka kubaya, jana kuna mtu kaja na picha za Mzee Warioba, Mzee Salim na Dr Slaa!
Akadai eti kaitoa kwenye fb page ya Zitto. Sijui imeishia wapi ile habari...
Tulitendee haki hili JUKWAA!

Tembelea Michuzi na magazeti ya leo, tatizo letu wengi tumeamua kupiga kambi JF wakati kuna sources nyingi sana za kupata taarifa, dunia ya dot.com wee acha tu .chunguza njomba utabaini !!!!!!!!!!!!!!
 
Duh!!
Mkuu.........hata wewe?? yule anayeweka birthday na fashion show za akina Mwanamboka?
 
wana ccm kama hamkuwa na nia ya dhati kutengeneza katiba mpya kwa nini mmeuanzisha huu mchakato? kazi kwenu. mmejiongezea matatizo tu, kuvuana magamba bado hamjaliza na hili la katiba sasa limekuwa soo la kitaifa kwa mara ya kwanza tangu tulipokabidhiwa nchi yetu na mwingeleza miaka ya sitini kweusi. when comes to katiba mpya hakuna kulala wote tunaungana kuhakiksiha kihachoandikwa kina manufaa kwetu na hasa hasa vizazi vijavyo.
 
Duu hii JF sasa tunaipeleka kubaya, jana kuna mtu kaja na picha za Mzee Warioba, Mzee Salim na Dr Slaa!
Akadai eti kaitoa kwenye fb page ya Zitto. Sijui imeishia wapi ile habari...
Tulitendee haki hili JUKWAA!
Kwani uongo hawakukutana? tatizo lenu habari hadi itoke gazetini ndipo muamini, haya sasa Nipashe wameandika hiyo habari na picha wameiweka.

attachment.php

Mawaziri Wakuu Wastaafu, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) na Jaji Joseph Warioba (katikati) wakiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, nje ya ukumbi, wakati Mdahalo wa Nafasi ya Umuhimu wa Katiba katika Maisha ya Watanzania.
 
Duh!!
Mkuu.........hata wewe?? yule anayeweka birthday na fashion show za akina Mwanamboka?

Nakuhakikishia mkuu sina sababu ya kuleta uongo hapa.Ingia kwenye archieve za michuzi tafuta za jana utapata mkuu wala usihofu
 
Jk tunakuomna usaini Muswada huo!!!!
Na wakiandama Hawa Mafala tuta wamwagia maji ya upupu na kuwapiga Virungu vya ugoko na utosi!!!!Mapaka shume wakubwa!!!!!
 
Kuna tetesi kuwa jana JK alikutana na upinzani mkubwa wa wabunge baada ya kutaka mwafaka na wapinzani kama wazee wengi walivyoshauri wabunge walimweleza wataweka wapi nyuso zao kama hautapita. Hivyo wakashauri lazime upite baadae wangalie upepo utakapoelekea. Habari ndiyo hiyo.

Sentensi ya mwisho ya Spika leo ilikuwa hivi,"Eti wanamshahuri Rais asisaini mswada sijui imekaaje?"mwisho wa kunukuu. Nachoweza kucomment,waache waendeleze ubabe wao,majibu yako kwa wananchi.
 
Jk tunakuomna usaini Muswada huo!!!!
Na wakiandama Hawa Mafala tuta wamwagia maji ya upupu na kuwapiga Virungu vya ugoko na utosi!!!!Mapaka shume wakubwa!!!!!

This time itakula kwenu.I swear i my self i will be there front line and i will do something forget i say tell them to forget.
 
akisaini itakuw akatiba ya CCM na si ya watanzania
katiba haiwezi kumpa rais maamuzi ya kuamua iweje wananchi ndio waamuzi wa mwisho
 
nyie hamumjui JK vizuri. atasaini vizuri sana tena mbele ya wanaandishi wa habari huku akitabasamu kisha kwenda ulaya. Huyu jamaa huwa hafikirii hata kidogo, bora wale wanaofikiria kwa kutumia masaburi huyu jamaa ni bure. Watanzaia miaka hamsini yote still tunapelekeshwa?nilishaandika humu kuwa vita ni mbaya sana ila inabidi tupigane ili tujikomboe na hawa magamba. kumbuka mbegu lazima ife ili iote na mmea ustawi.
 
Sentensi ya mwisho ya Spika leo ilikuwa hivi,"Eti wanamshahuri Rais asisaini mswada sijui imekaaje?"mwisho wa kunukuu. Nachoweza kucomment,waache waendeleze ubabe wao,majibu yako kwa wananchi.
Kumbe ulimsikia..watu huwa hawaunganishi dots..wanasubiri waunganishiwe, tusuburi mkutano wa leo najua atadokeza hilo lakini kwa mkwala mzito.
 
Na ililia nchi yangu TANGANYIKA.. sorry. TANZANIA in general.. Maana.."No Single Stone shall remain unturned" Count on my word! Days are numbered and getting very close.!
 
Kwa khotba yake hii kusaini ni MUST!!!!!!
Haya nyie Mademu mnaosusa jiandaeni na Maji ya Upupu!!!
 
Back
Top Bottom