Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,590
- 1,614
WanaJF, kuna tetesi za siri sana zimeenea mtaani na katika majikwa ya siasa ya kisirisiri kuwa JK katika pitapita zake ataelekea huko Ivory Coast kumaliza mgogoro wa uchaguzi kama alivyofanya kule Kenya mwaka 2007. Anachofanya kwa sasa ni kusubiri tu Mbeki ashindwe kuleta muafaka na yeye ndipo atinge huko kuweka mambo sawa....Ni katika hali ya kuendelea kujijengea jina katika viunga vya kimataifa ingawa kwake kunafukuta moto.....Nyie mnasemaje? Ataweza kumalizz huo mgogoro kweli kama alivyoweza kwa akina Kibaki na Odinga?!!! Nawasilisisha!!