JK kumaliza mgogoro wa Ivory Coast!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
WanaJF, kuna tetesi za siri sana zimeenea mtaani na katika majikwa ya siasa ya kisirisiri kuwa JK katika pitapita zake ataelekea huko Ivory Coast kumaliza mgogoro wa uchaguzi kama alivyofanya kule Kenya mwaka 2007. Anachofanya kwa sasa ni kusubiri tu Mbeki ashindwe kuleta muafaka na yeye ndipo atinge huko kuweka mambo sawa....Ni katika hali ya kuendelea kujijengea jina katika viunga vya kimataifa ingawa kwake kunafukuta moto.....Nyie mnasemaje? Ataweza kumalizz huo mgogoro kweli kama alivyoweza kwa akina Kibaki na Odinga?!!! Nawasilisisha!!
 
Anaweza kufanikiwa. Watu kama JK wanafananishwa na "Mfinyanzi, anakula kwenye gae", ikiwa na maana kuwa anatengeneza kwa watu lakini kwake kunaporomoka. Ninamtakia kila la heri
 
Hapo umenena sawa kabisa.....subirini muone... kwani kenya ilikuwaje? pale amekaa sana Koffii Olomide Annan lakini hakikueleweka mpaka alipoenda JeiKei
 
Hata hivyo Mbeki kesho atatoa taarifa yake ambayo itawashangaza wengi...
 
Atakachofanya akifika huko ni kumlaumu Gbagbo kwa kushindwa kuchakachua matokeo kabla hayajatangazwa!
 
WanaJF, kuna tetesi za siri sana zimeenea mtaani na katika majikwa ya siasa ya kisirisiri kuwa JK katika pitapita zake ataelekea huko Ivory Coast kumaliza mgogoro wa uchaguzi kama alivyofanya kule Kenya mwaka 2007. Anachofanya kwa sasa ni kusubiri tu Mbeki ashindwe kuleta muafaka na yeye ndipo atinge huko kuweka mambo sawa....Ni katika hali ya kuendelea kujijengea jina katika viunga vya kimataifa ingawa kwake kunafukuta moto.....Nyie mnasemaje? Ataweza kumalizz huo mgogoro kweli kama alivyoweza kwa akina Kibaki na Odinga?!!! Nawasilisisha!!

Alimaliza mgogoro Kenya lini?
 
Atakachofanya akifika huko ni kumlaumu Gbagbo kwa kushindwa kuchakachua matokeo kabla hayajatangazwa!

Kazi kwelikweli...atamlaumu kwa nini hakumuomba consultancy maana kwa sasa anawachafulia maraisi wengine kwa kuonesha alivyo mzembe katika jitihada za kubaki mjengoni...
 
umesahau? hukumbuki kama alivyoenda kenya ndio mambo yalitengemaa?....ilikuwa ni 2007

Kwa hiyo kama na mie nilienda Kenya 2007 mambo yakatengemaa muda huo huo nilioenda na mie nimetatua mgogoro ?

Pleeease,

JK kashindwa kumtoa Makamba ukatibu Mkuu CCM ataenda kutatua mgogoro wa mijaluo huko ?
 
Mkuu, tunabana matumizi ati. Ni kama ilivyokuwa kwa Sumaye, Pinda et la...hatuwezi kumbwaga Makamba hata kama ipo proved beyond reasonable doubt kwamba hafai...kwa kuwa tu hatutaki kuwa na lundo la makatibu wakuu ''wastaafu''. Ni gharama kuwahudumia
 
I hope you are just being sarcastic.
 
source...ni mimi mwenyewe na vijana wa ndani ya system. au source mpaka itoke mbinguni?

unajua kilichompata assange wa wk leaks?. Kwa hiyo wewe unashea udaku na vijana wa state?, chagua aina ya udaku wa kuleta hapa janvini, wenyewe wakikuchalukia jf itatoa ushirikiano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom