waambie ukweli hao watumwa wa ccmUkisikia kubwa jinga ndio wewe. Damu za watanzania zimewafanya mataahira, kuwauzia dawa feki za ARVs, kuwapiga mabomu, mlifikiri mtanusurika, hizo ndio dalili zenyewe za wehu, Slaa amewafanya vibaya na bado.
Kuhusu hotuba ya huyo mzururaji, haina jipya na watu wenye shughuli zetu hatuwezi kupoteza muda kumsikiliza, atasikilizwa na majobless na mapunda kama nyie.
Mnafikiri kwa kuwa nyinyi mnauana ndio kila mtu, mnauana kwa kukolimbiana lakini kwa dawa feki za ukimwi, wamejaa wagonjwa watupu huko halafu bado mnauza na dawa feki za ukimwi, nasikia babu amesema anaanza tena kutoa kikombe badala ya kwenda Marekani mwende kwa babu sasa.Wewe kwani unaakili gani we ndo garasa kabisa na chama chenu cha mauaji mpaka mnaua ndugu sasa ngoja tuone mwisho wenu mtamalizana kuuana na uongozi wa nchi hii hamataupata kamwe hatujagui chama cha maruhani,slaa kutwa anapanga kuhujumu wenzake na wewe ndiyo umemuona wa maana.
Muulize baba ako wa kambo kwa nini kila siku anaenda MarekaniMliovurugwa hamjifichi pole wambie wakupepee ili utulie kuvurugwa kubaya.
Mkuu ilianza jana, inaendelea leo, Jana Arsenal walishinda, kesho kuna UEFA ndogo, ni heri tuangalie soka kuliko kumsikiliza fastjetHivi UEFA ni leo ama kesho?
JK ataongelea mambo baki kabisa ambayo hayaligusi taifa kwa sasa atazungumzia kukua kwa uchumi,wiki ya nenda kwa usalama na mitihani ya darasa la saba
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
Tunajua unampenda Kikwete! Basi jifunze matumizi ya herufi 'H' au rudi darasa la pili kwa mwalimu babu au bibi akakukumbushe kwa kukusina kwenye mashavu.
Muulize baba ako wa kambo kwa nini kila siku anaenda Marekani
Huyo Simiyu Yetu anatumikia tumbo achana nae mkuu
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
President Mkapa alikua anahutubia hata akiwa nje ya nchi.Kwani kipi hakiwezekani? Afteral,JK atakuja na mipasho tu....hakuna cha maana...tunategemea malalamiko na mipasho....Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Anaenda pale kuchekacheka tu kama kawaida yake,mambo ya maana kwa watanzania kwake hayana maanaBinafsi sina muda wa kumsikiliza maana mambo ya msingi huwa anayasema kimzaa na wakati mwingine kutoyagusia kabisa! Naweza kuweka hela kwamba muda mwingi ataelezea safari zake za nje na opereshen iliyofail (kimbunga)
Rais Kikwete leo usiku ameamua kuhutubia taifa ikiwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi septemba pamoja na kwamba mwezi umemalizika.
Moja ya mambo tunayotarajia kupewa uzito ni swala la kusainiwa kwa muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Nikipata full text mapema nitawamwagia hapa jamvini.
Stay tuned
=========
Update:
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA HOTUBA YA MWEZI YA MHESHIMIWA RAIS ILIYOKUWA ITOLEWE LEO, JUMATANO, OKTOBA 2, 2013, SASA ITATOLEWA KESHO, OKTOBA 3, 2013. TUNAOMBA RADHI KWA MABADILIKO HAYO NA TUNAWAOMBA MSIITUMIE ILE PRESS RELEASE YA KWANZA. KWA MARA NYINGINE, TUNAOMBA RADHI.
ASANTENI
SALVA RWEYEMAMU
MKURUGENZI WA MAWASILIANO
IKULU,
DAR ES SALAAM.
2 OKTOBA, 2013
Ww ndio maskini wa fikra, huna jipya
Rais alikuwa nje ya nchi karudi juzi tu sasa ulitaka awahutubie wananchi akiwa Marekani...subiri hotuba leo mtamsikia rais.
Mnafikiri kwa kuwa nyinyi mnauana ndio kila mtu, mnauana kwa kukolimbiana lakini kwa dawa feki za ukimwi, wamejaa wagonjwa watupu huko halafu bado mnauza na dawa feki za ukimwi, nasikia babu amesema anaanza tena kutoa kikombe badala ya kwenda Marekani mwende kwa babu sasa.