JK, Katuni 1=Maneno 1000,Watch Out

Katika kuazimisha miaka 35 ya chama chao je huyo mama kutoka kushoto anafurahia au anahuzunika?


Anaonekana kama anacheka kwa kujilazimisha ila moyoni ana dukuduku linamuumiza yani analia kimoyo moyo
 
ipo siku,nchi itabadirika tu,naamini,hakuna kisicho na mwisho

Kwa hali ya wananchi wasiojua kuchukua hatua na kutojua haki zao itachukua muda na tutakuwa tushaumia na kupoteza wenzetu wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…