Jk,katiba mpya hiki ndicho anacho taka

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kwa kuikubali hoja ya katiba mpya kiulaini hivi,...si bure lazima "kutaingizwa" mapendekezo ya raisi kuongoza kwa vipindi vitatu ili agombee tena 2015!

Kama sio hilo,basi kuna kitu anataka ndani yake and its not for the good!
 
huyu baba riziwan, hana nia nzuri na nchi yetu,nilazima tujiulize kwanini akubali kiulaini?tuwe makini kuna uwezekano wakawa na mpango wa kuchakachua.
 
Kwa kuikubali hoja ya katiba mpya kiulaini hivi,...si bure lazima "kutaingizwa" mapendekezo ya raisi kuongoza kwa vipindi vitatu ili agombee tena 2015!

Kama sio hilo,basi kuna kitu anataka ndani yake and its not for the good!
Hapana hajakubali. Ila ili kelele zinazoongezeka za kudai katiba mpya zipungue bora kuonyesha kwamba amekubali.
Lakini sababu zake za kutaka sasa katiba mpya tofauti kabisa na zile wanazozitaja wananchi.
Kwa kweli msimamo halisi wa JK na serikali ni ule alioutoa mwanasheria mkuu na waziri wa sheria.
Imeonekana waTZ mnaweza kujiorganise na kuleta msukumo wa nguvu kama serikali itakuwa inapinga mojakwamoja katiba mpya. Lakini mtapata shida kuujenga huo msukumo iwapo serikali itakubali na kutumia delaying tactics. Fumba fumbua 2020 ishafika!
 
Kwa kuikubali hoja ya katiba mpya kiulaini hivi,...si bure lazima "kutaingizwa" mapendekezo ya raisi kuongoza kwa vipindi vitatu ili agombee tena 2015! Kama sio hilo,basi kuna kitu anataka ndani yake and its not for the good!
Binadamu bwana! Cjui ni lipi jema kwao. Kwani ulitaka asubiri hadi vita itokee ndo akubali katiba mpya?
 
Binadamu bwana! Cjui ni lipi jema kwao. Kwani ulitaka asubiri hadi vita itokee ndo akubali katiba mpya?

He seems to be much like ,laulent gabo so nilitegemea hivo,.....
Ila kama kawahi kuna jambo analitaka kwa faida yake binafsi na sio kwa taifa
 
Jamani tumuonee huruma, kama mlimuangalia vizuri ameongea kwa upole sana. Ile hali ni tofauti na siku zingine, nakumbuka siku alipotutishia wafanyia kazi wengine, na wakati anatetea Richmond, Dowans, na hata kupigia debe Lowassa na Mramba jamaa alikuwa na jeuri hata usoni, HAPA AMEWEKWA KWENYE KONA KALI TENA FINYU, TUMKABE MPAKA KIELEWEKE, TUKIMUACHIA BASI MJUE TUNAMUUMBA GHABO MPYA MAANA HATUJAMSIKIA AKIMLAANI MWENZAKE KWA KUWA KING'ANG'ANIZI. HAWANA AIBU HAWA JAMAA TUONGEZE NGUVU TUOKOE NCHI YETU JAPO IMESHALIWA SANA:party::eek:
 
nina wasiwasi na Katiba mpya inaweza kuwa ni ya kuimarisha chama kilicho madarakani badala ya kuweka playing field level, na baada ya hapo itasemwa "wananchi hawa watu ni wachochezi na wapenda fujo walitaka katiba mpya tumewaletea halafu wanataka nyingine tena"
 
Jamani tumuonee huruma, kama mlimuangalia vizuri ameongea kwa upole sana. Ile hali ni tofauti na siku zingine, nakumbuka siku alipotutishia wafanyia kazi wengine, na wakati anatetea Richmond, Dowans, na hata kupigia debe Lowassa na Mramba jamaa alikuwa na jeuri hata usoni, HAPA AMEWEKWA KWENYE KONA KALI TENA FINYU, TUMKABE MPAKA KIELEWEKE, TUKIMUACHIA BASI MJUE TUNAMUUMBA GHABO MPYA MAANA HATUJAMSIKIA AKIMLAANI MWENZAKE KWA KUWA KING'ANG'ANIZI. HAWANA AIBU HAWA JAMAA TUONGEZE NGUVU TUOKOE NCHI YETU JAPO IMESHALIWA SANA:party::eek:
:bump:hivi hadi leo unampima mtu kwa facial expression.............???pima wengine lakin sio mwidhi ka yule.
 
Back
Top Bottom