Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000
kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....
Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:
1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!
2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu
3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,
4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!
we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!
Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!
Jamani.. uchaguzi una matokeo yake. Binafsi sitaki kabisa kusikia mwana CCM au mtu yeyote aliyeunga mkono JK kurudi madarakani analalamikia iwe mafuta au dawa ya vipodozi. Watu lazima wajifunze kuishi na maamuzi waliyoyachukua.
Hivi yule aliyesema Chaguo la Mungu yupo wapi siku hizi? pengine hata kuomba radhi anaona haya..Unajua ndio tabu ya kuongea sana, matokeo yake ni aibu na kukosa credibility mbele ya watz.JK chaguo la Mungu, Mungu huyu huyu tunayemsingizia kila baya.
Hivi yule aliyesema Chaguo la Mungu yupo wapi siku hizi? pengine hata kuomba radhi anaona haya..Unajua ndio tabu ya kuongea sana, matokeo yake ni aibu na kukosa credibility mbele ya watz.
Hivi yule aliyesema Chaguo la Mungu yupo wapi siku hizi?
Dawa ni kuanza upya, kwa kuweka mfumo mpya wa kujitawala usiotegemea maono ya vikundi au individuals. Mfumo utakaohakikisha uwajibikaji, uhuru, ubunifu, uwazi et c ..pengine starting point iwe katiba.Dawa ni nini? uchaguzi? siasa? what do you think.
Wana undugu?muulize dereva wa Mohamed Trans
Dawa ni kuanza upya, kwa kuweka mfumo mpya wa kujitawala usiotegemea maono ya vikundi au individuals. Mfumo utakaohakikisha uwajibikaji, uhuru, ubunifu, uwazi et c ..pengine starting point iwe katiba.