Duh!Engineer is back.
Ndugu Waberoya,samahani tulikwaruzana kidogo huko nyuma kwenye misimamo flani.Tafadhali dont take it personal.Rudi jamvini tukate issue,hoja kwa hoja.
Duh!Engineer is back.Ndugu Waberoya,samahani tulikwaruzana kidogo huko nyuma kwenye misimamo flani.Tafadhali dont take it personal.Rudi jamvini tukate issue,hoja kwa hoja.
Nakumbuka sana mjadala ule na tofauti za kimitazamo; it was a healthy thing anyway.
Mkuu Waberyo, hata mimi nakumbuka tulikorofishana sana humu kimtazamo tu lakini kitendo cha mimi kwenda kwenye friji kuibua hii THREAD yako yenye hoja nzito kwa ustawi wa familia zetu ni kielelezo tosha kwamba I had nothing personal.
Mapenda baadhi ya ideas zako sana tu kama hii hivi sasa lakini haina maana kwa siku za usoni hatutokaa tutofautiane tena.
Mnaofahamu uchumi na kushuka na taarifa kuwa bei zinapanda mnisaidie hapa. Iwapo bei bei ya chipsi mayai (zege) toka 1995 mpaka 2005 ilikuwa TZS 500. Aliyesababisha ibaki bei hiyo ni kuwa tulikuwa nje ya uchumi wa dunia au ni kipi? Sukari kupanda toka TZS 400 (1995) mpaka TZS 700(2005)tulikuwa wapi(my own memory)? Kupanda toka TZS 700 (2005) mpaka TZS 2,100 (2011) kunamaanisha ndio tumeingia kwenye uchumi wa dunia.Topical et al shuka na data na reference za kweli ili uzi wako usieleweke maana umenesha bei zinapanda lakini huoneshi kwa kiwango kipi na reference yako ni ipi