gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000
kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! Kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! Kama hujajenga kihalali....
Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! Shida zikiongezeka haya yatatokea:
1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!
2. Watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu
3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. Waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! Tutaona kama akili hazitakuja kichwani,
4. Wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei huku wakiwa hwana mpango na issue za kitaifa wataamka!!
We need same platform ili tuelewane!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua ccm!!!
Acha maisha magumu yaongezeke jk kanyaga twende!!!!
Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000
kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....
Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:
1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!
2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu
3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,
4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!
we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!
Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!
Hadi 2015 tutakuwa tumeelewa cha kufanya
at last tunaweza kuelewana sasa. HONGERA sana kwa mtazamo wako chanya na bila watu kuumizwa na matatizo yanayoikabili nchi,,,, BASI UKOMBOZI WA KWELI HAUWEZI KUPATIKANA. mimi naamini ikiwa tutafika mahali na wote tukaminywa na maisha kwa kiwango cha kuchanganya akili zetu,,,, basi lazima kila mtu atajipanga.
ila duh!!!!!! unaposema eti''WATU WANAENDELEA KUICHAGUA CCM''' una maana gani??
do you want to tell us that CCM walishinda kihalali???? welcome to the real world of truth.......
.......Nimepata taarifa kuwa mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 52,000/= kwa ndoo kubwa! Mkate wa supa loaf sasa ni 800 kwa eneo letu!
Shangaa gazeti la The East Afrika linasema JK ni wakumi katika marais wachapakazi Afrika. Sijui wametumia vigezo gani.Tumuulize rais bila kumuogopa, katika ahadi mia na kidogo alizotoa ametekeleza ngapi? Hakuna? Je, analipwa kwa kazi gani?
Ziko wapi nyumba zetu zilizonyakuliwa na utawala mbovu wa Benjamin Mkapa?
Tuulize bila kumung'unya maneno wala kuogopa kwani nyumba hizi ni mali yetu. Wako wapi kina EPA, hasa kampuni la Kagoda, Deep Green Finance, Meremeta na majambazi wengine? Serikali inangoja nini iwapo rais alituaminisha kuwa serikali yake si ya ubia na mtu?
Yako wapi maazimio ya kupunguza ukubwa wa serikali? Iko wapi mikakati na matendo ya kupunguza matumizi ya magari ya bei mbaya maarufu kama mashangingi? Ni hivi karibuni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alifanya mizengwe na kutuhadaa kuwa serikali ina nia na mipango ya kupunguza magari ya bei mbaya.
eace::closed_2:
Dawa ni kubadili mfumo kristu ambapo 80% ndio watendaji wa serikali tokea uhuru wao badala ya kujenga nchi wanajenga dini yao.Inakuwaje MOU pesa zinatoka serikalini zinajenga taasisi za dini moja inafika mahala serikali inayotoa pesa zetu walipa kodi eti tena inashukuru kanisa kwa kutoa huduma ambazo ni wajibu wa serikali.Ufisadi unaanzia hapo.
JK kanayaga twende juzi niliona unafungua kiwanda cha mabilioni cha mbolea pia nimeona unazindua mpango mpya wa messII.Hawa wanaokuombea dua mbaya achana nao ni dua za kuku ila jihadhari nao kwani ndio wengi serikalini na wanakwamisha juhudi zako makusudi.Ndio haohao wanohujumu uchumi wa nchi kwa rushwa na ufisadi uliokubuhu halafu wanapeleka eti sadaka kanisani ili pesa zao zibarikiwe.Mungu sio Athumani anawaona iko siku watalipwa kwa matendo yao.
Kanyaga twende jk
Mkuu hakuwa anafungua kiwanda alikuwa anafungua godown la kuweka mbolea inapoingia toka nje, wabongo watakaoajiriwa hapo sanasana ni walinziDawa ni kubadili mfumo kristu ambapo 80% ndio watendaji wa serikali tokea uhuru wao badala ya kujenga nchi wanajenga dini yao.Inakuwaje MOU pesa zinatoka serikalini zinajenga taasisi za dini moja inafika mahala serikali inayotoa pesa zetu walipa kodi eti tena inashukuru kanisa kwa kutoa huduma ambazo ni wajibu wa serikali.Ufisadi unaanzia hapo.
JK kanayaga twende juzi niliona unafungua kiwanda cha mabilioni cha mbolea pia nimeona unazindua mpango mpya wa messII.Hawa wanaokuombea dua mbaya achana nao ni dua za kuku ila jihadhari nao kwani ndio wengi serikalini na wanakwamisha juhudi zako makusudi.Ndio haohao wanohujumu uchumi wa nchi kwa rushwa na ufisadi uliokubuhu halafu wanapeleka eti sadaka kanisani ili pesa zao zibarikiwe.Mungu sio Athumani anawaona iko siku watalipwa kwa matendo yao.
Kanyaga twende jk
Gesi (15kg) from 45,000 to 70,000
Sadolin ya mkaa iliyokuwa inauzwa 1500 sasa ni 3000
kwa sisi wajenzi nondo zile za 12,000 sasa ni 17,000! kwa kifupi vifaa vya ujenzi vimepanda sana! kama hujajenga kihalali....
Mechi inaendelea natamani hali hii iendelee ifikie watu kushindia maji tu! shida zikiongezeka haya yatatokea:
1. Akili ya kuchagua viongozi bora itakuja tu!
2. watu watakuwa sensitive na hali ya nchi na sio kukurupuka tu
3. Mijadala ya kidini haitakuwepo, maana woote wamakonde, wamalira, wanyakyusa, wachaga, wangindo, wapogo wote wana suffer the same. waislamu na wahindu, wakristo na wapagani watapata shuruba ile ile! tutaona kama akili hazitakuja kichwani,
4. wale wasomi 'graduate' wanaotembelea magari ya mikopo na kupanga Sinza, huku wakiwa weredi wa vikao vya harusi na kushinda kuchoma mafuta yaliyopanda bei HUKU WAKIWA HWANA MPANGO NA ISSUE ZA KITAIFA wataamka!!
we need same platform ili TUELEWANE!!, shida tu zitawakomboa watanzania, kelele tumepiga watu bado wanawachagua CCM!!!
Acha maisha magumu yaongezeke JK kanyaga twende!!!!
Dawa ni kubadili mfumo kristu ambapo 80% ndio watendaji wa serikali tokea uhuru wao badala ya kujenga nchi wanajenga dini yao.Inakuwaje MOU pesa zinatoka serikalini zinajenga taasisi za dini moja inafika mahala serikali inayotoa pesa zetu walipa kodi eti tena inashukuru kanisa kwa kutoa huduma ambazo ni wajibu wa serikali.Ufisadi unaanzia hapo.
JK kanayaga twende juzi niliona unafungua kiwanda cha mabilioni cha mbolea pia nimeona unazindua mpango mpya wa messII.Hawa wanaokuombea dua mbaya achana nao ni dua za kuku ila jihadhari nao kwani ndio wengi serikalini na wanakwamisha juhudi zako makusudi.Ndio haohao wanohujumu uchumi wa nchi kwa rushwa na ufisadi uliokubuhu halafu wanapeleka eti sadaka kanisani ili pesa zao zibarikiwe.Mungu sio Athumani anawaona iko siku watalipwa kwa matendo yao.
Kanyaga twende jk
Dawa ni kubadili mfumo kristu ambapo 80% ndio watendaji wa serikali tokea uhuru wao badala ya kujenga nchi wanajenga dini yao.Inakuwaje MOU pesa zinatoka serikalini zinajenga taasisi za dini moja inafika mahala serikali inayotoa pesa zetu walipa kodi eti tena inashukuru kanisa kwa kutoa huduma ambazo ni wajibu wa serikali.Ufisadi unaanzia hapo.
JK kanayaga twende juzi niliona unafungua kiwanda cha mabilioni cha mbolea pia nimeona unazindua mpango mpya wa messII.Hawa wanaokuombea dua mbaya achana nao ni dua za kuku ila jihadhari nao kwani ndio wengi serikalini na wanakwamisha juhudi zako makusudi.Ndio haohao wanohujumu uchumi wa nchi kwa rushwa na ufisadi uliokubuhu halafu wanapeleka eti sadaka kanisani ili pesa zao zibarikiwe.Mungu sio Athumani anawaona iko siku watalipwa kwa matendo yao.
Kanyaga twende jk
Shangaa gazeti la The East Afrika linasema JK ni wakumi katika marais wachapakazi Afrika. Sijui wametumia vigezo gani.