JK kaanguka tena Mwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kaanguka tena Mwanza?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mdau, Aug 23, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na uhakika,atujulishe tulio mbali...
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,583
  Likes Received: 1,944
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli basi ajiuzulu sasa,apumzike.
  Kama ningekuwa yeye ningeshajiuzulu hadi sasa,mashaka mengi kiasi hiki hayafai kwa mkuu wa nchi.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Tunamuulizia JK siyo JEYKEY.....sorry
   
 4. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu..
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu hata Dr. Kinana amethibitisha
   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu unatafuta Serengeti beer TBL?
   
 7. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Hiyo website kwenye kitufe cha "ratiba ya kampeni" hakuna kitu zaidi ya kalenda ya kawaida,pia website nzima hakuna habari mpya au picha,sasa unaposema habari zaidi tuende huko habari zipi hizo au ndio kuhalalisha bilioni 50?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...