Kwanza acha matusi uwe na adabu pili hujajua hata kinacho ongelewa wewe unasema watatafuta pa kutokea kina nani hao mafisadi au Takukuru au wazembe serikarini, usilete upenzi usio na kifani.
tusubiri tu jamani... na sisi tuna beep vile vile.. ila kwa wale ambao tunafahamu mazingaombwe tunajua wakati mwingine hata kitu kikibadilishwa mbele ya macho yako haina maana ni kweli kimebadilika kwani mazingaombwe ni sanaa ya kudanganya macho.
SPECULATIONS@GO.TZ.
Lakini kishindo pekee cha JK anachoweza kufanya ni kumwajibisha mtu wa ngazi ya uandamizi...
Mambo ya wakuu wa mikoa yako well overdue, na si kishindo tena....after all yeshavuja.
Nakwambia kwa namna yoyote ile hawawezi kuzuia maandamano hata siku moja!
Dunia nzima inaangalia Africa saivi,wanaangalia ni wapi watu wanaandamana na wana sumbuliwa au kuuliwa kama libya,...
Ikitokea wakazuia maandamano,na chadema wakalazimisha afu yakatokea kama ya Arusha utasikia "na tanzania yameanza mauaji"......
jambo ambalo JK na serikali yake hawalitaki,likitokea hilo ataenda kutalii nchi gani unadhani?
Unadhani anafurahia maandamano saivi?.......Anaumia kweli ila "safari" ni worthy kwake kuliko "kuzuia maandamano" ya chadema kwa namna yoyote ile