[COLOR=#ff0000 said:Ben[/COLOR];3407838]You're quite entertaining . We know the type, defeat them in an argument and they get foul mouthed, begin throwing stones, burning, looting and killing......Au Lugha ndiyo tatizo mkuu! Hadi unajua marital status za watu? Intellectual dwarf!
So the issue is no longer about constitution,it's all about revolutionize the whole system right?
So the issue is no longer about constitution,it's all about revolutionize the whole system right?
this name is quite unfamiliar as far as chadema politics is concerned,can you please remind me who are you?you guys are busy chewing each other out,washing your dirty laundry in public yet calling yourself chadema leaders!!!kila post yako unampigia debe zitto kiasi kwamba nahisi hata yeye mwenyewe anakasirika na hii tabia yako ya kujipendekeza,..is that why you calling people haters?if you are truly chadema leaders like you say you are stop bitching up on the internet and settle your issues in internal meetings!!!ps..you talk too much,if you really have a dream to climbing to the higher positions,learn to speak a little and listen more.
Rais anapotoa maoni yake afikirie mara mbili, is a shame kuwa challenged kwa kitu kidogo kama hiki. Ametumia kigezo gani kusema tunataka rais Kijana. Analeta ubaguzi wa vijana na wazee. Rais ni mtu yeyote mwenye uwezo na tutakaye muona anafaa hatuangalii mzee au kijana. Swala la umri wa kuanzia kumpata rais ni utaratibu tu wenzetu walikaa waliona hilo wakaamua hawakukurupuka tu. ukisema 35wengine watasema 25 utatumia kigezo gani kupata umri sahihi? Naona 40 ni sahihi mtu anakuwa amepitia challenges nyingi zikiwemo za kazini na familia. Kama wewe ni mzuri si usubiri shida iko wapi? Kwani miaka 40 ni mzee?
this name is quite unfamiliar as far as chadema politics is concerned,can you please remind me who are you?you guys are busy chewing each other out,washing your dirty laundry in public yet calling yourself chadema leaders!!!kila post yako unampigia debe zitto kiasi kwamba nahisi hata yeye mwenyewe anakasirika na hii tabia yako ya kujipendekeza,..is that why you calling people haters?if you are truly chadema leaders like you say you are stop bitching up on the internet and settle your issues in internal meetings!!!ps..you talk too much,if you really have a dream to climbing to the higher positions,learn to speak a little and listen more.
WAKATI makundi ya urais yakijipanga kuwania kiti hicho mwaka 2015, bila kuyajali, Rais Jakaya Kikwete amesema wanaota urais wakiwa na umri kama wake, wasahau, Tanzania Daima Jumatano limedokezwa.
Kikwete alitoa kauli hiyo wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichokutana juzi, pamoja na mambo mengine, kupitisha jina la mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.
Habari kutoka ndani ya kikao hicho zilisema kuwa Rais Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akifungua kikao hicho.
Kwa mujibu wa habari hizo, Rais Kikwete alisema kuwa kinachotokea Arumeru Mashariki ni makundi yanayotaka urais na kusisitiza kuwa kama kuna mtu mwenye umri kama wake na anataka urais mwaka 2015, asahau kupata kiti hicho.
Alisisitiza kuwa wanaotajwa kutaka urais wakiwa na umri kama wake na hata kuzidi, huu si wakati wao bali wa vijana.
Mtoa habari wetu kutoka ndani ya kikao hicho, alisema kauli hiyo ya Rais Kikwete iliwanyongonyeza baadhi ya makada wanaotajwa kutaka nafasi hiyo wakiwa tayari na umri mkubwa.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Bombuli, Januari Makamba (CCM), amependekeza kuwa umri wa kugombea urais, ushushwe kutoka miaka 40 ya sasa hadi 35.
Ushauri huo uliungwa mkono pia na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ambaye alihoji kuwa kama Uganda wameweza kwa nini Tanzania mabadiliko hayo hayawezekani.
Makamba alitoa kauli hiyo jana katika kongamano la Femina HIP la vijana walio nje ya shule, lilioandaliwa na Jukwaa la Femina, huku likiwa limebeba mada kuu ya ushiriki wa vijana katika uundwaji wa Katiba mpya na kufanyika katika Ukumbi wa British Council, jijini Dar es Salaam.
Wabunge hao wawili pia walitaka umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura uwe miaka 16 badala ya 18 kama ilivyo sasa.
Akifafanua pendekezo hilo, Makamba alisema Tanzania inapaswa kuiga mfano wa nchi jirani kama Uganda, Burundi na Rwanda ambao tayari wanafuata mfumo huo.
Alisema asilimia kubwa ya wananchi wa taifa hili ni vijana hivyo haoni ni kwa nini hawapewi fursa kugombea nafasi hiyo kwa kisingizio cha umri.
Kuhusu kupiga kura, mbunge huyo alisema anaamini kwamba umri wa miaka 16 alionao kijana wa karne hii ana uwezo wa kuchambua mambo na kumchagua kiongozi anayeona anafaa.
Kwa upande wake Zitto alisema hata yeye anaunga mkono hoja hiyo na kudai kwamba linawezekana kabisa huku akitolea mfano kwamba kipindi cha nyuma wanawake walikuwa hawashiriki katika kupiga kura.
Kama vile haitoshi alisema miaka ya kupiga kura ilikuwa ni kuanzia 21 lakini kadri muda ulivyozidi kwenda na kuonekana kwamba kuna haja ya sheria hiyo kufanyiwa marekebisho, ndipo ikafika miaka 18 hivyo ni wakati sasa muafaka kwa vijana kudai haki hiyo ya kupiga kura wakiwa na miaka 16.
Hata hivyo Zitto aliwataka vijana katika mchakato huu wa Katiba kutokubali mjadala huo utawaliwe na wanasiasa kwa kuwa wengi wanajadili kwa maslahi yao.
Kwa mujibu wa Zitto tayari ameshaona wanasiasa hao wameanza kuutumia mjadala huo kwa manufaa yao huku wakilenga katika kugawana madaraka na kuacha kujadili mambo muhimu kama ajira kwa vijana na namna gani wataweza kulipwa kutokana na kazi wanazozifanya.
Pia mbunge huyo aliwaonya vijana wasije wakafikiri Katiba mpya ndiyo itakuwa suluhu ya matatizo yanayowakabili na badala yake kuwataka wafanye kazi kwa bidii.
Msidhani kwamba eti Katiba mpya ikiwepo ndipo matatizo ya ajira yatakwisha au uibwaji wa rasilimali za nchi utaisha la hasha kwani matatizo haya yanaweza kuendelea kuwepo; kinachotakiwa ni kuchapa kazi na kujenga hoja pale mambo wanapoyaona yanaenda sivyo, alisema.
Hata hivyo wabunge hao walipoulizwa swali na mmoja wa washiriki wa kongamano hilo, Humphrey Polepole, kama wangependa kuwa kwenye Bunge Maalum la Katiba, walisema ndiyo kwa madai kwamba wanaamini watakuwa na mchango mkubwa kuwepo kwao katika tume hiyo.
Kwa pamoja wabunge hao walisema kwamba wanataka kuonyesha siasa za tofauti katika kuondoa matatizo ya vijana na wananchi kwa jumla bila kujali vyama wanavyotoka.
Katika kongamano hilo la siku mbili ambapo mgeni rasmi alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, linalenga kupata maoni ya vijana wa Tanzania kuhusu Katiba mpya kwani takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ina watu milioni 44 na kati ya hao asilimia 65 ni watu walio chini ya umri wa miaka 25.
Source: Tanzania Daima. 29/Feb/2012
[TD="bgcolor: #ffffff"][/TD]
JK: Hatutaki Rais mzee 2015
Na Nasra Abdallah
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"]
[/TD]
Nominee wa CCM ndiye mara zote anayekuja kuwa Rais wa Tanzania.
kwani kipengele cha kuwa na shahada ya kwanza kipo kwenye katiba ya JMT au ya CCM??Katika historia ya Tanzania huru hakuna wakati ambapo wanawake walikuwa hawashiriki kupiga kura; na hakuna sababu ya msingi ya kushusha umri wa kuanza kupiga kura kuja miaka 16. Upigaji kura ni uamuzi wa mtu mzima na tunayo universal suffrage. Kama tunaamini mtoto wa miaka 16 anaweza kufanya uamuzi mkubwa wa kupiga kura basi tushushe universal suffrage ije kwenye 16 ili wenye umri huo waweze kufanya maamuzi mengine ya watu wazima - kuoa, kushtakiwa kama watu wazima, n.k n.k kwanini tushushe tu kwenye kupiga kura?
Hili la kushusha umri wa kugombea Urais kutoka 40 kuja 35 kunaweza kuwa kuzuri lakini kusihusu uchaguzi wa 2015 liwe kwa ajili ya uchaguzi wa 2020. Lakini wakiamua kuondoa hilo waondoe pia ulazima wa kuwa na shahada ya kwanza kwa mgombea wa Urais! Kwanini ni lazima mtu awe na shahada kuwa rais? kwani Urais ni kazi ya usomi?
Si kwamba haruhusiwi kutoa maoni, lakini kama umemwelewa yeye anachotaka ni kuhakikisha watu fulani hawachukui hiyo nafasi, amesema kinafiki zaidi..hatukatai kama angesema anatoa tu maoni, lakini hapa uelewe kuwa yeye anatoa azimio, kwamba iwe hivyo sio ndio Rais anatake aache vijana wa kumlinda.Watu hivi kikwete haruhusiwi kutoa maoni yake kama mtanzania?tuache kuwa na fixed minds......The Logic is,ni kwa nini umri wa kugombea urais uanzie miaka 40? Haya ni matusi kwa walio na umri chini ya miaka 40,ni matusi kwa watanzania kwamba busara za kuongoza zinaanzia umria wa miaka 40?
Halafu funny enough,sijui ni kwa nini watu wana-feel insecure statement ya kushusha umri wa urais inapotolewa.
Naunga mkono katika kujenga imani kwa vijana wenye uwezo sawa na kujenga imani kwa wazee wenye uwezo !
Mkuu hilo suala la kushusha voting age nakubaliana nalo...naamini mtanzania aanweza kufanya maamuzi sahihi hata akiwa na 15 years.To be safe,tushushe umri wa kum-define mtu mzima constitutionally.
Nataka vigezo vilivyotumika kuweka umri wa mgombea urais kuwa 40 ili tufanye very health debate.Pia naona ni vizuri tuka-review umri wa mtu kuwa mtu mzima!