Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Ben kwanini basi iwe ni miaka 35? Hiyo siyo dharau kwa walio chini ya miaka hiyo? Kwanini tusiondoe tu minimum age requirement?
Watu hivi kikwete haruhusiwi kutoa maoni yake kama mtanzania?tuache kuwa na fixed minds......The Logic is,ni kwa nini umri wa kugombea urais uanzie miaka 40? Haya ni matusi kwa walio na umri chini ya miaka 40,ni matusi kwa watanzania kwamba busara za kuongoza zinaanzia umria wa miaka 40?
Halafu funny enough,sijui ni kwa nini watu wana-feel insecure statement ya kushusha umri wa urais inapotolewa.
Naunga mkono katika kujenga imani kwa vijana wenye uwezo sawa na kujenga imani kwa wazee wenye uwezo !
.....Katika hatua nyingine, mbunge wa bombuli, januari makamba (ccm), amependekeza kuwa umri wa kugombea urais, ushushwe kutoka miaka 40 ya sasa hadi 35.
Ushauri huo uliungwa mkono pia na mbunge wa kigoma kaskazini, zitto kabwe, ambaye alihoji kuwa kama uganda wameweza kwa nini tanzania mabadiliko hayo hayawezekani.......
To me age doesnt matter as long as ni mtu mzima mwenye proven records za utendaji mzuri na afya iliyosimama anafaa kuwa raisi.
Nsije sahau asiwe na kashfa yoyote ile!
Mkishusha umri wa kugombea urais hadi miaka 35 itakuwa ni dharau kubwa sana kwa sisi wenye miaka 25.
Watu hivi kikwete haruhusiwi kutoa maoni yake kama mtanzania?tuache kuwa na fixed minds......The Logic is,ni kwa nini umri wa kugombea urais uanzie miaka 40? Haya ni matusi kwa walio na umri chini ya miaka 40,ni matusi kwa watanzania kwamba busara za kuongoza zinaanzia umria wa miaka 40?
Halafu funny enough,sijui ni kwa nini watu wana-feel insecure statement ya kushusha umri wa urais inapotolewa.
Naunga mkono katika kujenga imani kwa vijana wenye uwezo sawa na kujenga imani kwa wazee wenye uwezo !
Hatutaki wazee kama kina Sitta na Mwandosya tunataka vijana kama kina Lowassa.
Rais anapotoa maoni yake afikirie mara mbili, is a shame kuwa challenged kwa kitu kidogo kama hiki. Ametumia kigezo gani kusema tunataka rais Kijana. Analeta ubaguzi wa vijana na wazee. Rais ni mtu yeyote mwenye uwezo na tutakaye muona anafaa hatuangalii mzee au kijana. Swala la umri wa kuanzia kumpata rais ni utaratibu tu wenzetu walikaa waliona hilo wakaamua hawakukurupuka tu. ukisema 35wengine watasema 25 utatumia kigezo gani kupata umri sahihi? Naona 40 ni sahihi mtu anakuwa amepitia challenges nyingi zikiwemo za kazini na familia. Kama wewe ni mzuri si usubiri shida iko wapi? Kwani miaka 40 ni mzee?Watu hivi kikwete haruhusiwi kutoa maoni yake kama mtanzania?tuache kuwa na fixed minds......The Logic is,ni kwa nini umri wa kugombea urais uanzie miaka 40? Haya ni matusi kwa walio na umri chini ya miaka 40,ni matusi kwa watanzania kwamba busara za kuongoza zinaanzia umria wa miaka 40?
Halafu funny enough,sijui ni kwa nini watu wana-feel insecure statement ya kushusha umri wa urais inapotolewa.
Naunga mkono katika kujenga imani kwa vijana wenye uwezo sawa na kujenga imani kwa wazee wenye uwezo !
Ben
1. Rais ni institution na ndo maana kuna walinzi 24/7 wewe unam-reffer kama Kikwete ila hapa tunadiscuss kama Rais na Mwenyekiti so kwako hii ni personal issue kwetu ni National Echo
2. Context matters a lot on the weight of content delivered
3. Hatupo kwenye kujenga imani tena zama hizi......tunahitaji uwezo na ari ya kutenda ndani ya muda tarajiwa ambayo with age kwa mtu competent tunapata a good result....thus unapata age as in experience not digits mind you.......na kwa mchango wako hapa unaonekana kabisa when you grow up utachangia vema zaidi
4. Watu tuna feel insecured leo because we want to be secured in future.....it is sequential....not haphazard
Mkuu samahani kama nitakuudhi
Lakini uwa nashanga uwa ikija swala la zitto unakuwa mbele kuleta hoja zisizo za msingi
Sijawai kuona unaongelea vizuri kuhusu chama chako na viongozi wako
Je wewe ni kundi moja na zitto?
:nerd:
what about experience, skill, achievements etc..... wewe kweli bogusDada Radhia .......Hata wewe unaweza kuwa kiongozi mzuri ukiwa na qualification zaidi ya hiyo umri.Nikipewa fursa ya kuchagua kati ya wewe mwenye 25 years old na mwenye miaka 35 na mkawa mnalingana vigezo vyote isipokuwa umri then i'll certainly vote for you !
Yes he is ! He can totally change the attitudes,he can inspire and more importantly.......he can be the best Commander-in-chief ever.Zitto is a great leader with superb courage and deep sense of commitment and love for his people.
It's Only sickening the pathetic, lazy and backward mentality ...... JK ana haki ya kutoa mawazo yake.Kuna watu wanakosa kujiamini inapokuja suala la kuweka proper age na kupanua wigo wa kidemokrasia kuhusiana na umri wa kugombea urais.
It's very obvious uwezo wa mtu unapewa first priority na incase kuwe na watu wawili wenye uwezo sawa provided that all other factors are constant except age,then i will vote for the youngest candidate.People dont quote me wrong kama ilivyokuwa kwenye ile thread nyingine tena.
Rais anapotoa maoni yake afikirie mara mbili, is a shame kuwa challenged kwa kitu kidogo kama hiki. Ametumia kigezo gani kusema tunataka rais Kijana. Analeta ubaguzi wa vijana na wazee. Rais ni mtu yeyote mwenye uwezo na tutakaye muona anafaa hatuangalii mzee au kijana. Swala la umri wa kuanzia kumpata rais ni utaratibu tu wenzetu walikaa waliona hilo wakaamua hawakukurupuka tu. ukisema 35wengine watasema 25 utatumia kigezo gani kupata umri sahihi? Naona 40 ni sahihi mtu anakuwa amepitia challenges nyingi zikiwemo za kazini na familia. Kama wewe ni mzuri si usubiri shida iko wapi? Kwani miaka 40 ni mzee?
what about experience, skill, achievements etc..... wewe kweli bogus
1. This is what we call love and emotions..........weka hapa capabilities zake over others especially wa CHADEMA kwa kuanzia then sisi tutajua tu nini ndo nini......
2. In para two ndo mawazo yako sasa yamerudi na kweli hapo unashirikisha ufahamu wako kwenye mambo makubwa kwa Taifa achana na mapenzi ya person weka vigezo against ability ya deliverance
I have been looking for LIKE I culdnt find it! Am doing this expressly I LIKE this OleSaidmu
Sasa kama ni kweli - alisema hivyo - na anaamini hivyo kwanini yeye mwenyewe na makamu wake wasijiuzulu sasa ili kutuondolea kutawaliwa na RAis Mzee?
Sababu za kushusha umri zimeelezwa vizuri sana na kaka yetu January Makamba. Amesema wazee wameshindwa kuleta mabadiliko na wameishia kuleta uchawi tu Ikulu. Hapo labda alikuwa anamlenga Baba Mwanaasha.