Jk hatawatendea vijana kuhusu ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk hatawatendea vijana kuhusu ajira

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by atubariki, May 4, 2012.

 1. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Naomba mlitafakari hili jamani kuna vijana wengi ambao wamemalizia elimu ya vyuo na hawana ajira kila wanapokwenda kuomba kazi sehemu wanaishia kufanya interview bila mafanikio,wakati huo huo unakuta kiongozi mmoja serikalini ana nyadhifa tatu tofauti wakati angepewa moja wapo na zingine wangepewa vijana ambao wanajutia kwaninh walipoteza muda wao kukaa darasani wakitarajio mwisho wa elimu yao walioyoisotea kwa taabu na kunyanyaswa kuhusu mikopo ndo mwanzo wa maisha bora .Mf mkuu wa mkoa wa pwani ndo kaimu mkuu wa mkoa wa Dsm je hii si ingekuwa ajira ya mtu mwingine isitosho kuna kipindi mheshiwa Lukuvi alikuwa mbunge huko Iringa na akawa mkuu wa mkoa wa Dsm,na kwa ushauri wangu mie ndo ningekuwa Jk ningefanya kitu kimoja kuhusu wakuu wa mikoa,wilaya Mfano kila mkoa mkuu wake awe mwenyeji wa mkoa husika hali kadharika mkuu wa wilaya hii ingeleta maendeleo haraka
   
Loading...