MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 816
- 417
Upepo haujatulia, Umetulizwa tuliwaeleza hili la Gesi ni mlipuko tu litapita watu wakajifanya kubisha,Jakaya anawajua wa Tz anajua strength na weaknes yao, Tafuteni lingine maana ujenzi wa Bomba kama kawa unaendelea na wana Mtwara wanatoa ushirikiano kama kawa,Zile fujo ni za wana Tandahimba ngome ya Kaf wengine ni watiifu kwa serikali yao Tiifu ya Ndugu Jakaya,Hata vurugu za Newala na Tandahimba zilifanywa na hao mamluki.Sasa Jakaya anaenda kuwashughulikia wapishi wa Propaganda walodanganya kuwa Bomba linaenda msoga wakati wote wanafahamu Kinyerezi ipo Dsm wilaya ya Ilala na ndo destination ya Bomba!
jidanganye tu.