JK & EL In London - Boys II Men Still Locking!

hawa wakuu wawili wana tatizo moja linawakabili ndiomaana mnaona wamechoka. Tatizo hilo ameliweka vizuri mama Theresa.
''Hunger for love and appreciation''. Wanajua hawana rafiki wa kweli na wengi wa walio wazunguka ni wanafki tu. May God cure them, amen.
 
c4.jpg


Rais Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge wa Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mh. Edward Lowassa muda mfupi baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza Julai 12, 2012.



Yani hawa ni kati ya mafiga watatu lakini iko siku hapatatosha hapa Nchini na waendelee kushika maeneo huko huko wanakokutanaga London!

Na bila shaka one day watayafanya makao ya kudumu na familia zao!

Wanayotufanya hayakubaliki hata kidogo!
 
EL kachoka sana, bora apumzike sasa. akigombea urais na hekaheka za kampeni anaweza kufia jukwaani na sio kudondoka kama huyo wa pembeni yake.
 
Maskini EDO chokaaaaaa kumbe ndo maana hua anaenda Germany mara kwa mara! Hivi kamati ya Bunge na usalama siku hizi inafanyia kazi zake US/UK tu manake ni muda sasa kodi za walalahoi zinafujwa! Sijui ni lini hawa viongozi wataacha kijipendekeza kwa US na UK...Hivi inakuaje unamtembelea mtu zaidi ya mara kumi yeye hakutembelei na kukunanga juu lakini bado tu HUONI AIBU
 
Ujana maji ya moto, ili kupata maana halisi ya huu usemi weka maji jikoni yapate moto. Namwangalia Raisi Kikwete na mikono mfukoni ndani ya suti iliyofungwa vifungo haya bwana!
 
Back
Top Bottom