Jk badili jukwaa bwana!

Watchman

Member
Nov 21, 2010
25
4
Mambo mazito ya kitaifa yaongee kwenye PRESS CONFERENCE, unanipata mkuu, achana na vijukwaa vya wazee wa SISIEM huko ongelea masuala ya propaganda za chama chako, siyo masuala nyeti kama DOWANS, MIGOMO YA WANAFUNZI, MISHAHARA... au mzee unaogopa challenges toka kwa waandishi? Huoni wenzako.
 
Mkuu hajui anachotakiwa kufanya, wakati gania anatakiwa kufanya nini, na wapi panapotakiwa kufanya hilo jambo... kwakifupi ni upungufu wa busara! Huwezi kwenda kumwambia mzee wa ccm aliyesoma midle 'skuli' bure akipewa mahitaji yote na bado akaishia std.8 kuhusu migomo ya wanafunzi!!!!:twitch:
 
Aende kwa waandishi aulizwe maswali! anakwepa mwenzio vyombo vya habari anajua moto wake. watu washajichokea na kuonewa
 
Back
Top Bottom