Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.
Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.
Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo
NAWAKILISHA
Hivi vitu ni kweli?? kama ndivyo wakuu mnadhalilisha degree zetu. Msomi unapewa vipesa kuja kuandika upupu hapa JF, na kuonyesha wazi kuwa huna uzalendo na nchi yako hata kidogo????
Any way najuwa ni njaa ziliwasukuma mkakubali proposal za namna hiyo. Lakini bado mna muda wa kunoa akili zenu mfanane na watu wa karne ya 21 maana inaonekana mwezetu kaambiwa tu kaandike wala hakutafakari kitu anachokuja kuandika kaja kupost, wenye kujua sasa wanamuumbua ila haya yote ni matokeo ya njaa kali. njaa inafanya akili ishindwe kufanya kazi yake vizuri, inaleta ujasiri unaodhalilisha tena ikizidi inaondoa hata utu wa mtu. pole sana
Hawa CDM wangempata mkapa ndio watajua nini maana heshima, Kikwete anawaachia wafanye wanacho taka, lakini siku yenu itafika tu. Wote nyie CDM mnatakiwa kumsujudia KIKWETE na kumtambua kama ndio kiongozi wenu.
Rais Jakaya Kikwete amezidi kuandika historia katika kipindi chake cha uongozi kwa kuhitimisha kesi ya EPA ambayo kada wa CCM, Rajabu Maranda na \mshirika wake, Farijala wamepewa hukumu ya miaka 21 ambapo watatumikia jela miaka 5. Pia wakitoka jela itatakiwa walipe fedha walizoiba kupitia akaunti ya EPA.
Wananchi wa Tanzania pasipo kujali itikadi inatubidi kupongeza Rais wetu ili tumpe moyo ili aweze kuwashughulikia mafisadi na maovu mengine yanayofanyika nchini mwetu.
Tujikumbushe baadhi ya hatua ambazo JK amethubutu kuchukua katika uongozi wake:-
1. Kuvunja Baraza la Mawaziri ikiwa ni kujiuzulu kwa Waziri Mkuu
2. Kuwafikisha mahakamani viongozi wandamizi wa serikali; Mramba, Yona na Mgonja
3. Kuwapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani
4. Kuwa na moyo wa uvumilivu kwa vyombo vya habari
5. Kutoa vibali vya maandamano kwa vyama vya siasa pasiipo mkomo
NAWAKILISHA
Una uhuru wa kutumia demokrasia utakavyo, UKWELI unabaki pale pale JK kapaisha demokrasia TZ na vyombo vya dola amewapa uhuru wa kutekeleza majukumu
yake