JK awasili Poland leo

JK awasili Poland leo

akirudi trust me ataenda kufungua mkutano wa vicoba Sudan ya kusini
 
Mpaka wakati anang'atuka atakua kamaliza nchi zote duniani

Si mara moja pekee,kila nchi zaidi ya mara moja.MAREKANI PEKE YAKE KAENDA MARA 16 WAKATI OBAMA TZ MARA MOJA.TENA kila safari anakaapo wiki.sema jamaa mjanja sana,hatembelei nchi kama somalia,iraq au afughanistan. Kiukweli kikwete anakera na hizi root zake!
 
Ngoja waje kina Simiyu Yetu Lizaboni Chamviga Ritz yule mwenye akili za kwenye kinyesi MSALANI watatujuza vizuri.
 
Mwache azurure tuu hana msaada wowote kwa nchi zaidi zaidi akiwepo nchini majanga ndio yanazidi , akitaka arudi mwakani atakuta watanzania wanaendelea na hamsini zao wakibangaiza kutafuta maisha ,Raisi gani asiye na soni
 
Napendekeza Tz wa buni na kuanzisha shindano duniani la kumpata kiongozi mkuu wa nchi bingwa wa kusafiri duniani.

Washiriki wawe viongozi wakuu wa nchi duniani kote.

Na amini tutashinda huu ubingwa na kuipatia angalau nchi yetu sifa kwenye hii nyanja kusafiri.

Maana kwenye hizi nyanja nyingine nafasi tunazoshika duniani ni aibu tupu.
 
Rais amepata safari ya juu kwa juu toka Sri Lanka na sasa yuko Poland kuhudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Alipita kwa muda Dubai jana na leo asubuhi kaingia Warsaw

inampendeza yy afanye kadri awezavyo!
 
duh,jamaa kila siku nje,sijawahi kumwona kamaliza juma hata moja akiwa Tanzani........mda wake wote nusu yuko safarini na nusu ndani ya nchi.
 
atapokelewa na mkuu wa wilaya safari hii
 
somalia na Iraq

Ha ha huko hata mumfunge kamba haendi halafu mchoyo sana BIlali anaachiwa nafasi kama Ethiopia na mikoani, Pinda china yeye kiguu na njia dunia nzima nadhani akitoka Poland atanusa kidogo Iceland ,north pole halafu arejee mwezi wa sita mwakani nitacheka katiba atakuta tulisha iprint
 
Back
Top Bottom