Mkutano wa jumuia ya madola ushaisha? JK kala miguu ya kuku sijui...kiguu na njia...hana hata muda wa kukutana Na wenzie wa jumuia ya Afrika ya mashariki.
ndo maana wanamu ignore maana ana mambo ya kitoto sana ...anapenda kuzurura na kuhudhuria vikongamano vidogo vidogo utadhani mwanafunzi wa chuo bana...tabia nchi ya wapi ?au msoga?
Yaani hilo swali langu siku zote. Jeikei kasahau kuwa keshakuwa raidi JMT. Kwa nini Membe asitoshe?Ameenda hadi poland? Sasa membe anafanya kazi gani?
Kabakisha nchi mbili tu amelize kuizunguka dunia.