Anajua kuwa umeme umekatika nchi nzima?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Ametengewa bilioni 51 kwa ajili ya kutalii. nadhani atakuwa ameanza kuzitumia sasa!!atajulia wapi wakati wameenda kula bata dah hizi safari zimezidi sasa
Duh! Uchelewi kusikia akitoka huko anaunga Mpaka Syria, Iraq na somalia.
Aende na Somalia na Djibouti ili awe amekamilisha kutembelea nchi zote za Africa!
Duh! Uchelewi kusikia akitoka huko anaunga Mpaka Syria, Iraq na somalia.
Aende na Somalia na Djibouti ili awe amekamilisha kutembelea nchi zote za Africa!
FaizaFoxy, Mwigulu Nchemba, ACHEBE, MwanaDiwani, Nape Nnauye, Ritz, Tandale one, MSALANI, Lizaboni, Chris Lukosi...bila hizi safari wananchi tungekufa njaa! Hakuna kama Kikwete! Napendekeza aongezewe miaka mingine mitano; natabiri atakuwa mswahili wa kwanza kutua mwezini!
kila nikiangalia sioni nchi aliyobakiza huyu jamaa labda mars
The new world explorer on duty
hahahahahahaha hii imenichekesha sanaNasikia katika sherehe za Aviation Day JK atapewa cheti cha urubani.
FaizaFoxy, Mwigulu Nchemba, ACHEBE, MwanaDiwani, Nape Nnauye, Ritz, Tandale one, MSALANI, Lizaboni, Chris Lukosi...bila hizi safari wananchi tungekufa njaa! Hakuna kama Kikwete! Napendekeza aongezewe miaka mingine mitano; natabiri atakuwa mswahili wa kwanza kutua mwezini!
Tatizo la watu kama wewe Mag3 hamtaki hata kuchanganua hoja zinazoletwa hapa na matokeo yake mnaanza tu kulalama bila hata kufahamu kile mnachokilalamikia.Mheshimiwa Rais Kikwete pia atakuwa Mwenyekiti wa kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa AU kitakachojadili mazingira. Rais Kikwete na ujumbe wake anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa wiki.
Alivyoenda kwenye kile kikao cha mama na mtoto kule canada nako alikuwa mwenyekiti? Hahahahahahaha mpiga picha bwanaTatizo la watu kama wewe Mag3 hamtaki hata kuchanganua hoja zinazoletwa hapa na matokeo yake mnaanza tu kulalama bila hata kufahamu kile mnachokilalamikia.
Ulitaka Rais asiende wakati ni Mwenyekiti wa kikao. Jaribuni kuwa objectives.
Kelele za vyura wa kisiasa haziwezi kumzuia Rais Kikwete kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kuhusu mambo ya nje.
Wala hajaenda kujifunza ni utaratibu wake kila baada ya week 2 kutoka pia anakimap chake cha dunia anatick.Chezea ------ wewe.Huyo raisi wa Guinee equatorial ana kashfa za ufisadi zinajulikana dunia nzima.Raisi wetu kaenda kufanya nini huko?kujifunza jinsi ya kufisadi mafuta na gas au?