JK> Atuwapuuzi Walimu lakini Madai haya ni Magumu Kutekeleza,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mkuu wa Nchi ametamka serikali haiwapuuzi Walimu but Madai yao ni Magumu Sana hayatekelezeki...
 
Swali la Absolom kibanda, Serikali imejifunza nini kutokana na migomo hapa majibu yake yamekuwa magumu kidogo...
 
Aisee nikija humu chit chat ni kwa sababu nataka ni relax na nisiongee mambo ya nchi.. Sa we unaleta upuuzi wa huyo mtu huku chit chat umekosea invisibo uko wapi??!! Hii topic ya kutoa haraka sana
 
Kwa muono wangu nadhani wanafunzi wa kuanzia darasa la tatu watozwe fees hata kama ni alfu thelathini kwa mwaka ili kusaidia serikali iweze kuwapandishia posho waalimu. Vya bure virudi baada ya kuzalisha gesi.
 
Yan huyu jamaa sijui huwa nani anampa ushauri jinsi ya kuongea!

Ana sikitisha sana.
 
Aisee nikija humu chit chat ni kwa sababu nataka ni relax na nisiongee mambo ya nchi.. Sa we unaleta upuuzi wa huyo mtu huku chit chat umekosea invisibo uko wapi??!! Hii topic ya kutoa haraka sana

Hz mada za huku za kawaida,na vibwagzo utaviona,ngoja ASPRIN aje
 
Back
Top Bottom