hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
Labda kile chama kipya atakacholile la anzisha kitakuwa nyumba ndogo ya CCM!
nasikitika sana kuona bado watanzania tunakuwa na mawazo mgando kama wewe, vp kuhusu cdm kwenda ikulu na soon after that wakapoa na lile la kung'ang'ania katiba mpya ghafla likapoa, unadhani ni kwa nini? only reason ni kwa sababu lile walilokuwa wanapigia kelele lishasikilizwa kama walivyokuwa wanahitaji sasa hawana sababu ya kuendelea kulishikia bango......wote ni upinzani sasa haya mambo ya uccmfsdi smol haus unatokea wapi? hebu tafakari siasa za chuki huu si muda wake......mpinzani wa kweli ahitaji kuandamana tu yale mazuri lazima tuyasapoti.....jipange