Jk atatimiza ahadi zake alizotoa

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Ijumaa ya tarehe 21.08.2009;katibu mkuu wa chama kinachotawala nchini Tanzania(CCM) Yusuph Makamba alisema, “Rais Jakaya Kikwete atatimiza ahadi zake alizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005;kama atapatiwa muda.”(WEEK END AFRICAN)

Binafsi najiuliza hii hatua si sawa na kusema,maneno matupu haya vunja mfupa!
 
Back
Top Bottom