JK apewa tuzo leo

jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani

SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2

Vipi mheshimiwa utagombea tena come 2015? :A S-coffee:
 
Tuzo apewe na Bush pia kwa net zake! Pia kwa kuwakinga vifaranga na mwewe, hata waokota chupa za maji!
 
kila zama na kitabu chake. kwenye soka nitamkumbuka Zidane kama kiungo-mchezeshaji wa ukweli niliyewahi kumuona, huku De Lima nikimpa hadhi ya mfumania nyavu mahiri. Lakini kwa viongoz wa nchi, Kikwete ni likiongoz bogus, bogus, bogus nililowahi kuliona katika dunia hii.
 
mkuu Narubongo,check below link kwa habari ya Kikwete-AU na iyo inayoitwa tuzo ya Maralia.
Nimelipitia ilo Tangazo la AU lakini sijaona tuzo yoyote, inawezakana Kiinglish sikielewei vizuri.
http://www.au.int/en/content/president-ellen-johnson-sirleaf-liberia-and-president-jakaya-mrisho-kikwete-tanzania-
announc

Hiyo hapo basi. Huitaji hata kujua Kiingereza. Ni macho yako tuu.

a2+(1).jpg
 
​Mkuu, uwe mwangalifu siku nyingine unawza kuchekesha hata maiti. Eti tuzo inayoheshimika sana duniani, lol!
 
jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani

SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2
Ukisikia Habari za mzaha basi ndio hizi, yaani tuzo iheshimike duniani wakati nchi zilizoendelea zote hawana kitu kinachoitwa Marelia? hivi unategemea Rais Barrack Obama atapewa tuzo za namna hii!!??
Kweli Waswahili tukishindwa kitu tutabuni lolote lile la kuwazuga watu ili uendelee kuexist.
 
Wana JF JK bado wengi wanamchukulia kamawaziri wa mambo ya kigeni kama alivyokuwa zamani.Miafrika kwa kufanuya maamuziya ajabu mh au hawajui kwamba kuna mgomo Tanzania ? Malaria imekupungua Tanzania wakatihata kipindupindu kikigusa Dar watu wanapukutika ?
 
kama kigezo ni idadi ya vyandalua vilivyotolewa kwa wananchi basi wamekosea...vinatumika kuvua dagaa teh!
 
Musijali, mimi nipo hapa kukusanya maoni yenu nyote na ikithibika kama kweli hakuwa na sifa ya kupewa hiyo tunzo vilio vyenu tutavifanyia kazi na ikibidi anaweza hata kuambiwa airejesha kwao hiyo tunzo!
 
Du! kweli tisheti za kijani na njano zilituingiza chaka kumpa kilaza kama JK, na watampa na chupi ya heshima
 
​Mkuu, uwe mwangalifu siku nyingine unawza kuchekesha hata maiti. Eti tuzo inayoheshimika sana duniani, lol!

Ukisikia Habari za mzaha basi ndio hizi, yaani tuzo iheshimike duniani wakati nchi zilizoendelea zote hawana kitu kinachoitwa Marelia? hivi unategemea Rais Barrack Obama atapewa tuzo za namna hii!!??
Kweli Waswahili tukishindwa kitu tutabuni lolote lile la kuwazuga watu ili uendelee kuexist.

habari hii imekuwa gumzo duniani, baadhi ya wasomi wamesema jk asipoangaliwa anaweza kumzidi Obama kwa umaarufu
 
kweri rahisi tunaye maana angekuwa rais asingefanya hayo mazingaombwe hata kidogo.alijifanya anajua kiswahili sana huyo mara oh!!akili za kuambiwa changanya na zako,mbona yeye yamemshinda?nyambaf
 
Hajitambui tu huyu bwana...vije apewe tuzo unayosema inaheshimiwa sana dunia ni wakati wanaoiheshimu kwao malaria ni msamiati?
 
jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani

SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2
Vilaza wanafagiliana. Ugonjwa wa ufisadi unaua kuliko malaria akiumaliza huo tuzo nitampa mimi
 
Back
Top Bottom