JK apanda chati DRC!!!

Congo imegeuzwa shamba la bibi miaka dahari dahari, all in all namuunga mkono Rais wangu kwa hili ... wananchi wa Congo wanastahili kufurahia maisha na si kuteswa kutokana na rasilimali alizowapa Allah S.W.T...
 
we kweli ndiye empty head!!
Watu wanaongelea JK na DRC, mambo ya kitaifa, weye unaongele Filinkunjombe na mambo ya kitongojini.
Jipanue basi hata kufikiri!!!
 
safi jwtz , halafu muungane na wakongo Kagame ang'oke !!
 
I think you have so litle or no knowledge at all on War and National Defense Principles.Do some homework please

Kama umeweza kusoma na kuelewa kiswahili, naamini hata kukiandika ungeweza... hukuwa na haja ya kuonyesha umbumbumbu wako kwa kuandika kiingereza kibovu...
 
Kuna watu wanawaza utajili wa congo tu na siyo kuwasaidia wa congoman. Tz kuna utajiri mwingi lkn unapotea na kuliwa na kikundi kdg cha watu. Sasa mimacho yanawatoka congo, huko cocain hakuna maana ndy biashara kuu ya mafisadi na dhuruma ya urithi wa dunia [tembo]. Kama kusaidia iwe kwa moyo mweupe, manyani wa fikra si watu tena. Apande chat tu kuanza kuwaza mengine mkome kabisa msiotosheka. Hata mkipewa congo yote na mali zake hazita onekana na wala hakuna manufaa kwa watz wakawaida. Maisha mnayo haribu kwa vijana wetu hapa tz mnaona haitoshi south nako haitoshi mnaanza kufikiria wacongo mil 73 kwamba mtapanua soko la uovu wenu. Mimi kuanza kuwaza kuvuna congo ni ushetani mkubwa kutoka ktk vichwa dharimu. Tuna rasilimali lukuki zina potea tunabaki na sketoni ya nchi yetu huku tukipewa kongwa la utumwa wa madeni kwa vibarabara ambavyo haviwezi kudumu hata miaka 20 ijayo bali madeni hayo yatalipwa hata miaka 50 ijayo. Iweni na aibu na mjue MUNGU atawahukumu
 

Waambie wamchukue waende naye Congo. Huku tumemchoka.
 
Pitia hii link-http://www.un.org/apps/news/story.asp?NewsID=45535&Cr=democratic&Cr1=congo#.UftJUKz7YWw
 

Hizo ndio akili Kiazi Wewe!!?. Nyerere aliwaomba wakazi wa Goma wamkemee Nduli Amin!!!!?... pumba...vu!. chuki zako na marehemu Mobutu umezitunza moyon hadi sasa!!!!!?, pumba...vu!. Watoto wanakufa wengine wanapata majeraha, wanawake na wazee wanapata vilema na kubakwa na kulawitiwa. Kwa kuwa wengine hawajali basi na sisi tusijari!!!. SADC nzima wameunga mkono SA na Malawi wamechangia majeshi, hilo ulioni!!!, Nawasiwasi wewe ni m23 au mtusi. Wewe na wenzako wenye akili kama zako ni Ukoma.
 

Hao watutsi wakiongozwa na tyrants mu7 na kagame ni waongo kupita kiasi. Hata km al shaabab wapo (jambo ambalo si kweli), UN will not stop dealing with the tutsi blood suckers in DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…