JK apanda chati DRC!!!

hiyo ngoma ni moja kwa moja hadi Kigali. UN ilitoa saa 48 kwa m23 kujisalimisha la sivyo watapokonywa silaha. muda umemalizika na msako umeanza. baada ya goma safari kigali

Nawashauri JWTZ wajifanye kuwa hawajui na walenge moja kwa moja ikulu ya KAGAME ili biashara iishe mapema.
 
Ngongo DRC unaijua au unaisikia? Kwanza unadhani ile dhahabu bado ipo mpaka leo?
Msome vizuri Mkuu Ngongo, hakuna mahala ametaja dhahabu.

Kaongelea ardhi sijui kama unajua ukubwa wa ardhi nzuri ya kilimo/misitu ya mbao, ambayo haijawahi kuguswa toka dunia iumbwe.
 
Last edited by a moderator:

Na tumuunge mkono Rais wetu katika hili.
 
Good job TPDF, you have to taught PK and Museven a simple lesson on who you are!!
 
Good job TPDF, you have to taught PK and Museven a simple lesson on who you are!!

Minor correction: usually "to" is followed by simple form of the verb!

Example (1) (i) to do (not to did) (ii) to teach (not to taught) (iii) to say (not to said).


Example (2) To do you do you but to say you say me, alisikika yule mwanafunzi akimshitaki mwenzie kwa mwalimu. Ha ha ha!

Otherwise, tuko pamoja Mkuu.
 

mkuu hakuna mtu ambaye anaweza kumhurumia kagame amefanya umafia kwa watu wengi ameua watu wengi sana ni mshenzi wa washenzi.
 
DRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...
hata Tanzania inasumbuliwa na watusi, wametushika pabaya katika sekta zote muhimu za ulinzi. DRC Rais wao Kabila ni mnyarwanda na ni pandikizi la Kagame, unadhani watapona?! mpaka Waje wa congoman ambao sio mamluki ndipo Congo inaweza kua huru kitu ambacho ni ngumu kwa kua kila nchi kubwa Duniani inaitamani Congo
 
Nawashauri JWTZ wajifanye kuwa hawajui na walenge moja kwa moja ikulu ya KAGAME ili biashara iishe mapema.

ili eneo na ukanda wetu utulie, lazima kagame au museveni waondoke
 
RAI wamepata wapi hizo habari za kupanda chati wakati vyombo vya habari DRC havijawahi kuandika au kusema?
 
mkuu hakuna mtu ambaye anaweza kumhurumia kagame amefanya umafia kwa watu wengi ameua watu wengi sana ni mshenzi wa washenzi.

Mazingu Msambule ni miongoni mwa wanyarwanda waliotajwa na MTIKILA kuwa wamepenyezwa huku Tanzania , wengine ni pamoja na HELEEN KIJO BISIMABA na wengine wengi tunawafahamu siku ikifika itabidi warudi kwao kwa gharama yoyote.
 
mwanahalisi je linasemaje?

Teh Teh, Mwanahalisi siku hizi limejipachika jina lingine linaitwa MAWIO na hata mwandishi wake SAID KUBENEA nae kabadilisha jina.
 
Teh Teh, Mwanahalisi siku hizi limejipachika jina lingine linaitwa MAWIO na hata mwandishi wake SAID KUBENEA nae kabadilisha jina.

mkuu nimeedit kwani nimekumbuka mwanahalisi halipo tena
 
Wacha bwana!!!!

Hizo habari utakuwa umezitoa kwenye magazeti ya Udaku.

Unajuwa maana ya Boflo? Yaani wewe unaliwa!

Acha uhuni wewe. yaani gazeti la RAI unaita ni la Udaku? gazeti gani sasa utaliamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…