JK apanda chati DRC!!!

JK apanda chati DRC!!!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
[h=5]*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!

*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!

*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!

*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!

*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!

*Wakimbia waacha silaha,vyakula!

*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma![/h]
 
hiyo ya kula matunda niliiona kwenye gazeti la jamhuri la juzi, na walisema JWTZ wamewachapa wako hoi wameach silaha zao. sasa kuhusu kuja kumshukuru sina uhakika nalo manake sijasoma kwenye gazeti wala habari yyte ile zaid ya hii ya Boflo
 
Last edited by a moderator:
mhhhh...nachelea kusema kwanini wamuona mkombozi muda huu, au ndo muda mwafaka umefika wa kumuonesha?
 
hivi JK mtamsifia hadi lini, harafu mnatumia nguvu sana. Sifa huja zenyewe, angalia sifa alizonazo filikunjombe kwani alitafuta mpiga debe??? Juzi wakazi wa songea walikuwa wakimshangilia kila neno moja analosema tofauti kabisa na waziri mkuu. Aliposimama filikunjombe wananchi walisimama na kuanza kushangilia kama mkombozi kasimama.

Sasa nyie mnafanya kazi on empty.
 
DRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...
 
...Yaan ni sawa eti na kijana wa miaka 20 (DRC) analialia eti naonewa na mtoto wa miaka 7 (Rwanda), shame....
 
DSC_0054_12534.JPG
Gazeti la Leo Alhamis 08/01/2013la Rai Nguvu ya Hoja.

Gazeti gani ili ebu weka habari yote Boflo japo naona chumvi nyingii
 
Hata mimi napenda alichofanya JK lakini asisahau kuchukuwa madini na mbao huko kulipia gharama tunazoingia wakati wa kutekeleza jukumu letu la kuwafanya Wakongo nao waishi na kuifurahia nchi yao kama binadamu wengine.
 
Magamba kwa kuanzisha majiviwanda ya uongo tu hamjambo mbona JWTZ wapo busy kupiga na kubaka watu huko Mtwara? au M23 ndo wapo mtwara siku hizi?
 
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!

*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!

*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!

*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!

*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!

*Wakimbia waacha silaha,vyakula!

*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!

Hakika Nabii hasifiwi Nyumbani, mataifa ya yanamkubali sana JK.
 
Magamba kwa kuanzisha majiviwanda ya uongo tu hamjambo mbona JWTZ wapo busy kupiga na kubaka watu huko Mtwara? au M23 ndo wapo mtwara siku hizi?

Hiyo movie ya MTWARA mnaweza kuendelea nayo, ila haiwezi kulikatisha tamaa jeshi letu kuhakikisha amani inapatikana kwa majirani zetu.
 
hivi JK mtamsifia hadi
lini, harafu mnatumia nguvu sana. Sifa huja zenyewe, angalia sifa
alizonazo filikunjombe kwani alitafuta mpiga debe??? Juzi wakazi wa
songea walikuwa wakimshangilia kila neno moja analosema tofauti kabisa
na waziri mkuu. Aliposimama filikunjombe wananchi walisimama na kuanza
kushangilia kama mkombozi kasimama.

Sasa nyie mnafanya kazi on empty.

mkuu, sifa za JK si za kuzipamba. ni watu wenye ufinyu wa fikra tu kama wewe ndo hawaoni uthaman wa JK. WAKONGOMAN ambao ndo wanateseka na madhila ya M23 wameona thaman yake kama ilivyotokea kwa comoro na madagascar
 
Back
Top Bottom