JK apaa kwenda Paris leo...

Anaenda kutafuta chakula! Au mnataka aendelee kukaa hapa tulale njaa:wink2:
 
yaani huyu mzee ana upeo finyu sana jamani..khaaaa
 
Jamani JITIHADA za mwanadam hazizidi KUDRA za mwenyezi Mungu, Kikwete. Alinifurahisha sana na hii kauli yake!
 
Mbona hajaniaga mimi mwajiri wake?
 
Mbona hajaniaga mimi mwajiri wake?

Akuage umnyime ruhusa, kwani na wewe huwa unamuaga mwajiri wako ukienda kuzika? Kama ilivyo kwa mwajiri na mwajiriwa ni hivyo hivyo Bongo ni mwendo wa kuchakachua tu.
 
Safiri salama mr presidenz usisahau kuomba msaada njaa kali bongo
 
hiyo ndiyo tanzania tunayo itamani
 
Unafikiri kwa vile CCM wameshindwa kwa miaka 50 hivyo haiwezekani??? Hizo propanganda zako hazisaidii hapa labda uzipeleke kwenye vijiwe vya wana CCM wenzako ndiyo wanweza kuelewa your cheap thinking!!!
 
Tushamzoea mtali wetu,kwa hii tabia anategemea watanzania tumpende kweli
 
Hivi kila anaepita Dar aiport anaenda nje ya Bongo?
 
jamaa hawana tele conference technology bado......kwa hiyo mambo ya TV lazima mtu awepo nchini....kaja, kanena, sasa anarudi alipokuwepo....mambo ya mubarak kukataliwa kuhama nchi hayawezi kumpata mtaalam ambaye amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kirahisi namna hiyo....ala!
 
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......

Atakua anaenda uarabuni kwa Mkewe wa pili kupumzisha roho, Hakuna Jipya kwa huyu babu na utakuta siku katuuza Nchi nzima na katimkia Uarabuni.
 
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
.....wanapofanya patrol za kimataifa wamkamate huyu mzururaji!!!!!! kiguu na njia,,,,anaenda kuombaomba misaada nje huku kashindwa kuwa innovative enough ndani ya nchi!
 
.....wanapofanya patrol za kimataifa wamkamate huyu mzururaji!!!!!! kiguu na njia,,,,anaenda kuombaomba misaada nje huku kashindwa kuwa innovative enough ndani ya nchi!

Tena wambambikie na Bange na Cocaine ili akome
 
Kama kawa!!!:A S 13:
 
Attachments

  • Vasco.jpg
    11.9 KB · Views: 181
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…