Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
965
244
Katika status yake leo hii facebook, mhe, ameongelea kuhusu kuwa na makabila na imani tofaut za dini lakini bado tunaishi kindugu hivyo anasema ni kitu kimojawapo cha kujivunia katika miaka 50 ya uhuru, tatizo limejitokeza baada ya kuandika status kwa kithungu,kutojibu maoni ya watu,ugum wa maisha na picha aliyopiga na 50 cent. Natumia mobile mwenye uwezo wa ku attach yale maoni toka fb asaidie, nawasilisha.
 
Nimefungua hii thread nione JK alioga hayo matusi na dhihaka kumbe na wewe unaomba kwa wengine wakuwekee hayo matusi

Kweli JF ni uwanja wa fujo kila mtu nafujo zake! Haya tusubiri
 
Nimefungua hii thread nione JK alioga hayo matusi na dhihaka kumbe na wewe unaomba kwa wengine wakuwekee hayo mtusi

Kweli JF ni uwanja wa fujo kila mtu nafujo zake! Haya subiri watakuja kukuwekea

maisha yako ya tabu sana ritz, unahangaika kumwekea oxygen maiti!
 
Mkuu wa nchi na 50 cent,twafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...
 
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...

mkuu ile ni official social network account sababu hata picha za DICOTA na mikutano yote anayoifanya hutumia account ile kupost status zake ila leo watu wamemtolea uvivu.
 
Hii ndio part ya majibu tka kwa wachangiaji kwenye page yake
 
Ritz ndo ujue sio JF tu, ndo waliomchoka na vituko vyake, kila social network inamponda, sa inabid uwende na kule ukamtetee,la sivyo nepi nepi atakufukuza kaz km FF.
 
Ni vema kaambiwa ukweli maana tusijipofushe kana kwamba hali ni shwari wakati nchi imeenda mrama..mi kwa mfano hili la umeme nina khasira mpk basiiii
 
ha ha ha! Kaamua Kuifuta ile status kudadadek, ujumbe ushamfikia, akae akijua we are tired of his nonsense. Ye kucheka cheka tu. Na subir vyuo vifunguliwe km waandamizi wake wanampa matakwimu na kupongezana na mivinyo ndo atajua ukwel pale ambapo vyuo vyote nchini vitakapogoma! Wajiandae kuwatupia zigo la lawama CDM,maana ndo zao.
 

Wanasemaga a drowning man will clutch a straw..so sishangai sana wao kusema kila kitu chadema
 

Muziki wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hajawahi kuumudu tangu ameingia magogoni 2005. Sasa mwaka huu bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa watu wachache kuliko hata mwaka jana, huo mtanange unaokuja sipati picha.


Lakini kama kawaida ya jk atanyamaza kimya kama haoni wala kusikia na kumuachia homeboy wake kawambwa na safari za nje zitaongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…