Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

Hajafuta. you need to log in your facebook account to read all the comments. Ila comments wanazoacha watu sio mchezo though nakubaliana nae aliposema we "have survived for fifty years." Yaliyondikwa kule yangeandikwa hapa unakula ban la maisha.

Kama angekuwa PAW anafanyakazi FB, basi wangekuwa wanapata hasara kila siku. PAW atakuwa anafukuza Members kwa kuwapiga BAN kila sec. Ndio maana mimi huwa naipenda FB kwa hilo Freedom of Speech ipo kule sio hapa JF hata kama unatuma ujumbe kwa fisadi Kikwete unamfikia bila ya kuchakachuliwa na kina PAW
=======================
 
Jaman ina maana wenye PC mmeshindwa kuzi paste hizo comments hapa toka fb?.
 
 
  • Eshack Deo Mhe. We si PHOTOHOLIC bas ukirud nchini mfate na 20% kule kisarawe Upigenae picha bas ye mbona anaimba kuhusu maisha yetu yalivyo magum lakn umempotezea. UNATUZINGUA NA NGEL YAKO YA KUUNGA UNGA!3 hours ago · Like · 2 people
    [COLOR=#FFFFFF !important]2 people like this.​
    [/COLOR]

  • https://www.facebook.com/Kikwete?ref=ts&sk=wall#
    Mark as Spam

    Damian Joseph Masaa 24 ya mr president yako hv...masaa 6 (kula na kujaribu suti alizopewa ) ..masaa 6(kupiga stori na washkaji zake na kufkria asafiri kwenda wapi)..masaa 10(kutalii nchi mbalimbali na kupiga picha na kina 50 cent pamoja na kuuza sura kwenye vyombo mbalimbali vya habari)...saa 1(kuwadanganya wazee wa chama na kupiga stori na wanachama wake kuhusu chaguzi mbalimbali pamoja na kuteua masela wake kushika vyeo mbalimbali).. dakika 45(kukaa na familia yake).. dakika 10(kuskiliza mawaziri na wabunge wanataka nn kuhusu mishahara yao)..dakika 3(kuskiliza wananchi)...dakika mbili(kushughulikia matatizo yao )3 hours ago · Like · 5 people

 
  • Fatma Omary Exactly hon President of what u mentioned especially on the issue of divesities some how is the big achievement,how many countries fight each other because of their cultural diversities,religious fundamentalism like in PALESTINA AND ISRAEL,but we Tz we are sailing on the same boat!for my self i thnk ths argument is true,3 hours ago · Like

  • https://www.facebook.com/Kikwete?ref=ts&sk=wall#


    Batholomew Gareya Theo walcot fit for the next game, gud news mh mshbiki wa arsenal acha nimpe hii habari, nyie mnampa matatizo ye si alishajibu hajui kwanin sisi masikin na hajui matatizo yetu, mh match ya arsenal na olympiacos ni j5 19.45 nazani mtashnda, theodory walcot ni mzima usiwe na waswas na timu, au paa uende emirate ukaichek game, usisahau kupga picha na arsene wenger umkumbushe kuwa aje apate kikombe cha babu waondoe mikosi,3 hours ago · Like · 1 person

 
 
 
 
  • Thanks
Reactions: EMT
 
 
Aisee Vijana wanamshughulikia Juha Kikwete katika Wall yake kama nyuki, bahati yake mimi alini-remove tangu mwaka jana maana nilikuwa namchana mno mpaka akaamua kuni-remove sasa nimebakia kusoma ujinga wake tuuuuuu.
 
Lol kweli wananchi wamechoka!

Wewe asha sultan hebu njoo ujibu maswali yangu kwa niaba ya vasco da gama, hebu njoo haraka huyu rais ameishapewa mamizinga ya konyag kazima saiv, asha njoo online tafadhal nina maswal kwako, usisifie ukakimbia@asha sultan
 
Muziki wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hajawahi kuumudu tangu ameingia magogoni 2005. Sasa mwaka huu bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa watu wachache kuliko hata mwaka jana, huo mtanange unaokuja sipati picha.


Lakini kama kawaida ya jk atanyamaza kimya kama haoni wala kusikia na kumuachia homeboy wake kawambwa na safari za nje zitaongezeka.
Sasa kampatia mwanae nafasi ya masters uk, kwa gharama ya karibu wanafunzi kumi wa masters iwapo watasoma Muhimbili. Hii ni aibu ya mwaka kwa Wizara ya Afya kutoa nafasi mbili au moja kwa kila speciality na kuwaacha zaidi ya wataalam watarajiwa 200 bila ada. Nchi hii ipo ICU, pesa za maendeleo hakuna ila za kuandaa sherehe ya miaka 50 zipo. Jamani huyu jamaa anahitaji kura ya kutokuwa na imani naye, kinyume chake tunajitakia matatizo zaidi
 
Wamemchana mbaya,watanzania sisi ni wanafiki kweli,mtu anaogopa kumchana basi fungua ID nyingine ya Facebook like ile page then mchane kama unaogopa kutumia jina lako ila usivuke mipaka,kwangu mie tujisifu hio miaka 50 ya uhuru kwakua tumeweza kutokomeza kifaduro,utapia mlo tu mengine yote tumeshindwa,yani kweli serikali yetu inashindwa kweli ktzalisha 250MW??? basi tumwambia Jeykei akienda kupiga picha na Justin Bieber amwambia atusaidie kutufadhili hizo 250MW kwake ni jambo dogo!!!!
 
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...

Hata mimi siamini kama JK ana muda mchafu namna hiyo atakuwa ni yule jamaa aliyepiga picha na 50cents ili Rais wetu aonekana limbukeni.
 
Back
Top Bottom