Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

Queen Kyusa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
663
161
halaf hyo ni page moja kati ya comments 150, watu wamechoka jamani maana hiyo mitusi, ni aibu kwa kiongoz km huyu.


Eshacky ungetumwagia utamu huo wa mkuu wa nchi! kweli na aibu anashindwa kuelezea hali ya nchi ilvyo anatuwekea picha yake na 50% inaboa kweli
 

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
243
Eshacky ungetumwagia utamu huo wa mkuu wa nchi! kweli na aibu anashindwa kuelezea hali ya nchi ilvyo anatuwekea picha yake na 50% inaboa kweli

mhe ameamua kuifuta status yake, yani hii ni kali ya mwaka, hata mwenyekit wa kijijì watu huwa wanamheshimu.
 

Vonix

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
2,886
1,435
Rais kupiga picha na 50%aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah halafu utegemee atatue matatizo yetu ya msingi??????shalobaloooooooooooooooo!!!!!!!!!!!.
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,909
4,898
Ritz ndo ujue sio JF tu, ndo waliomchoka na vituko vyake, kila social network inamponda, sa inabid uwende na kule ukamtetee,la sivyo nepi nepi atakufukuza kaz km FF.


mkuu ritz ni Ridhiwani mtoto wa JK...
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
50,130
71,993
Mbona Ritz kakaaa kimya? kajionea hio mitusi eeh, kudadeki hata JF haijawahi tamka maneno matamu kama yale, kaaazi kweli kweli
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
47,831
58,950
Changes are inevitable:::Zambia tushaona:::Bado fallof sisihemu 2015::::

"Inevitable means that there's nothing anyone can do about it, it's going to happen,It means things are going to change no matter what"
 

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,485
15,228
ha ha ha! Kaamua Kuifuta ile status kudadadek, ujumbe ushamfikia, akae akijua we are tired of his nonsense. Ye kucheka cheka tu. Na subir vyuo vifunguliwe km waandamizi wake wanampa matakwimu na kupongezana na mivinyo ndo atajua ukwel pale ambapo vyuo vyote nchini vitakapogoma! Wajiandae kuwatupia zigo la lawama CDM,maana ndo zao.

Hajafuta. you need to log in your facebook account to read all the comments. Ila comments wanazoacha watu sio mchezo though nakubaliana nae aliposema we "have survived for fifty years." Yaliyondikwa kule yangeandikwa hapa unakula ban la maisha.
 

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,005
1,249
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...
Basi ngoja nikupotezee...
 

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
243
Hajafuta. you need to log in your facebook account to read all the comments. Ila comments wanazoacha watu sio mchezo though nakubaliana nae aliposema we "have survived for fifty years." Yaliyondikwa kule yangeandikwa hapa unakula ban la maisha.

mkuu tusaidie kuattach hizo comments ,si wengine tunacheza na vitochi.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom