JK anena kupitia face book

Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

mara moja? Huu mwaka wa ngapi tangu mafisadi waiteke nchi? Au unadhani mafisad wameiteka Tz leo? Ccm ya matapeli ipo tangu kitambo sasa iyo mara moja ni ipi?
 
 
Hana jpya fuatilia hiyo comment kwenye fb uone anavyo pondwa hata na vilaza
 
Muheshimiwa rais siyo mzungu na wala haishi kwa wazungu.

tru tre true, huwa anaenda kudokoa tujimisaada kama matonya. Ila hapa kwa kijilugha cha kule anajiita certified matonya. Kitaalamu kwa kibongo anasema anaenda kuemea! Ni muemeaji a.k.a msafiri/traveller.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…