GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
bado mnamzungumzia huyu aliyeshindwa kabla hajaanza? tuzungumze kuhusu wanaume wanaopigana kufa na kupona kwa ajili ya Taifa letu kama akina mwakyembe
It is true that investing in education requires a lot of money but it is also true that the price of having illiterate people is too big compared to the price of investing in the education sector. It is for that reason that we will continue to put emphasis on the education sector in each budgetary year. (Launching of the second phase of the Secondary Education Development Program (SEDP II), Tuesday, 18 January 2011)
Hii ilionyeshwa tangu jana saa2 usiku!Nimetoka kuanmgalia sasa hivi taarifa ya mchana ya TBC1, kuna shule moja ya kule kimara inaitwa msalanga wanafunzi wa darasa la tano mpka la saba ndo wanaklia madwati ili wazoee kuandikia kwenye madawati wasije wakashindwa kuandika siku ya mtihani wa darasa la saba, mwalimu wao amesema. Hii inamaana kuwa watoto hawa hawakuwahi kukalia dawati toka la kwanza mpka la nne.
Shule ya msalanga pia ina matundu ya choo manne na yanatumia maji wakati shule hiyo hawana maji.
Ilikukabiliana na hali hii mbaya ya vyoo, wanafunzi wameombwa kila mtu awe anakuja na lita 5 za maji ya kutumia chooni.
Kilichonichekesha ni kuwa hata walimu hawana choo walichokifanya ni kuchimbia mapipa kama choo.
Shame on JK hujui wanachokifanya!
Nimetoka kuanmgalia sasa hivi taarifa ya mchana ya TBC1, kuna shule moja ya kule kimara inaitwa msalanga wanafunzi wa darasa la tano mpka la saba ndo wanaklia madwati ili wazoee kuandikia kwenye madawati wasije wakashindwa kuandika siku ya mtihani wa darasa la saba, mwalimu wao amesema. Hii inamaana kuwa watoto hawa hawakuwahi kukalia dawati toka la kwanza mpka la nne.

aaaah Genius, mtu mzima wewe! Lazima uwe na aibu kuyaongea haya miaka 50 baada ya uhuru!Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo
bado mnamzungumzia huyu aliyeshindwa kabla hajaanza? tuzungumze kuhusu wanaume wanaopigana kufa na kupona kwa ajili ya Taifa letu kama akina mwakyembe
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo
Lazima umuongelee yeye hakuna ujanja hata kama utakataa ukweli huu, yeye ndio Rais wako, Amiri Jeshi mkuu wako nk, huna mwingine zaidi, kuwa mpole kijana